Dk. Kitila Mkumbo ajitambulisha rasmi ACT


nitajie kiongozi mwadilifu unaemjua
 
Tunashukuru tu Kamati kuu imewatendea haki kuwapa mnachostahili, Hongera nyingi sn kwa Godbless Lema
 

Tunachofanya ACT-Tanzania ni kupunguza kura za Chadema, tunajazwa nguvu kisha tutanunua wanachama kama tulivyofanya b4 ili kupata usajili wa kudumu hivyohivyo ktk uchaguzi wa 2015 tutakuwa na vijinguvu fulani kumbuks ni vya kupambana na chadema TU
Zitto tumeshamchukua sasa tutashawishi na wengine wahamie ACT chama makini kwa kuwajaza noti za ukweli ili tu kupunguza idadi ya kura na wabunge wa CDM.
Tumejipanga kimkakati kwa kweli.
Kwa sababi Zitto tumeshamdaka kama tulivyopanga sasa tutamtumia yeye kuleta wengine kutoka huko CDM na mamluki wengine watakuwa wanajifanya wanatoka CUF, CCM, TLP, NCCR kuja ACT ili tuwagrab hawa wa CDM
Hii ni kwa idhini tuliyopewa na serikali iliyopo madarakani inayoongozwa na chama tawala CCM, kazi yetu kuu ni kudhoofisha upinzani.
ACT-Tanzania chama makini
 
unajiaibisha sana... Haya maneno ukiyasoma mwenyewe unaona aibu.. Kweli kushkiwa akili ni kubaya sana

Kubaya sana nakwambia wewe hangaika na hao watu wako. Sisi ACT-Tanzania tumejipanga haswa
Hii ni operation maalum ya kupambana na Chadema TU.
ACT chama makini
 
Chadema kama lengo lilikuwa ni kuwa na chama cha kikabila au kidini wameshafanikiwa sasa chama cha upinzani cha kitaifa kimeshapatikana. Tunasonga mbele.

CHAMVIGA mshauri msajiri wa vyama akifute CHADEMA cha cha kidini na ukanda au na yeye ni mwanachama ??
 
Last edited by a moderator:

asante sana mkuu kwa kuendelea kutupa promo
 
Act ndiyo mpango mzima

Andika ACT-Tanzania ili ueleweke vizuri kwa sababu hata kule New Zealand tupo na ndiyo makao makuu yetu.
Hapa tumekuja kwa kazi moja tu ya kupambana na Chadema
 
Kubaya sana nakwambia wewe hangaika na hao watu wako. Sisi ACT-Tanzania tumejipanga haswa
Hii ni operation maalum ya kupambana na Chadema TU.
ACT chama makini

ACT tunapambana na changamoto zinazoikabili taifa
 
Kubaya sana nakwambia wewe hangaika na hao watu wako. Sisi ACT-Tanzania tumejipanga haswa
Hii ni operation maalum ya kupambana na Chadema TU.
ACT chama makini

ACT tunapambana na changamoto zinazoikabili taifa. Hatuna mapambano na chama chochote
 
waasisi wa ACT ni watatu tu - Zitto, Mkumbo na Mwigamba!!

Hiki ni chama kilichoasisiwa mahsusi kupunguza kura za CDM 2015 ili CCM ipate ahueni - nyie mtaona kama kitapigwa hata bomu moja kwenye mikutano yake!!

Watuwengine sijui vipi ninamashaka Na akili zako. Kwani chama cha siasa ni waasi Hadi wapigwe mabomu. Siasa za kupigana mabomu Na vurugu hazina nafasi Na wala sio kigezo kwamba wewe ni mpinzani. Na ndio sababu ilisababisha chadema kuchokwa Na wananchi. Hivi mnafikiria hao mnao watoa kafara hawana familia siasa gani hizo za kip*mbav* hazina nafasi sasa hivi Tanzania tunataka vyama vinavyo jenga hoja Na sio vyama vinavyoandaa vurugu Na mauwaji. Ighondo yupo Na atafanya kazi yake Kwa wapuu** kama nyie mnaopenda vurugu
 
Tatizo wapambe wa ccm ndio wapambe wa ACT hili ni tatizo kwa maendeleo ya ACT.
 
waasisi wa ACT ni watatu tu - Zitto, Mkumbo na Mwigamba!!

Hiki ni chama kilichoasisiwa mahsusi kupunguza kura za CDM 2015 ili CCM ipate ahueni - nyie mtaona kama kitapigwa hata bomu moja kwenye mikutano yake!!

Mkuu uko sahihi.

Hizi ndizo mbinu za CCM wanazotumia kupunguza kasi ya upinzani, lakini kwa sasa wananchi wengi wameshawashtukia!
 
Mwajiri wa Kitila Mkumbo anasemaje juu ya hili?
 

mkuu hilo mbona linajulikana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…