Zitto aliamua kuunda kundi la uasi ndani ya chama. Baadhi ya waliounda kundi hili ni:CHADEMA kimezikwa rasmi.
Hahahaha! Raha sana si mliwafukuza mbona mnahangakika, leo umekuwa mtoa ushauri wa ACT.
Zitto aliamua kuunda kundi la uasi ndani ya chama, wakiwemo John M. Shibuda na Kitila MkumboSalama ya Chadema sasa ni UKAWA,pindi UKAWA ikiisha ndipo utakapotambua jinsi uamuzi ule hasa kwa namna ulivyofanyika haukuwa na faida kwa Chadema.
Haya...subirini ile demokrasia iliyokuwa ikihubiriwa.......demokrasia isiyo na mipaka wala ethics......Hapa hapa JF tutajua yote.....Nadhani ya chama mbadala yametimia........yetu macho...:israel:
Zitto aliamua kuunda kundi la uasi ndani ya chama. Baadhi ya waliounda kundi hili ni:
§ Zitto Z. Kabwe
§ Juliana Shonza
§ Habib Mchange
§ Mtela Mwampamba
§ Gwakisa Burton
§ Eddo Makata
§ Greyson Nyakarungu
§ Adams Chagulani
§ Deogratius Kisandu
§ John M. Shibuda
§ Kitila Mkumbo
na bado.. chagadema imepoteza mvuto. watanzania wameichoka
Ni maoni yetu pia kwamba kuanzia sasa MM aenende katika mwenendo ambao utarahisisha ushindi. Mfano tunapendekeza afanye yafuatayo kuanzia sasa:
i. Apunguze ukaribu na viongozi wa serikali na wa chama tawala na awe crical zaidi na utendaji wa serikali nje na ndani ya bunge.
Usimchagulie marafiki huyu ni mwanauume anayejitambua nini afanye.Je, Zitto amepunguza ukaribu na viongozi wa serikali?
Act hata mnipe nini siwezi kuja kujiunga na ninyi matahira
Chama cha vijana na wapenda maendeleo lazima tujiunge nacho.
Zitto aliamua kuunda kundi la uasi ndani ya chama. Baadhi ya waliounda kundi hili ni:
§ Zitto Z. Kabwe
§ Juliana Shonza
§ Habib Mchange
§ Mtela Mwampamba
§ Gwakisa Burton
§ Eddo Makata
§ Greyson Nyakarungu
§ Adams Chagulani
§ Deogratius Kisandu
§ John M. Shibuda
§ Kitila Mkumbo
Dk. Kitila Mkumbo amejitambulisha rasmi kuwa ni mwanachama wa ACT kupitia Clouds fm leo asubuhi amesema atamshauri Zitto aje kugombea uwenyekiti.
==============
JamiiForums imefanikiwa kumtafuta Dr. Kilila Mkumbo kuthibitisha habari hii. Amekiri kuongena na Clouds FM na kwamba yeye ni Mwanachama wa Alliance for Change and Transparency (ACT).
Endelea na shughuli zako mkuu. ACT ni upuuzi
What is news here.. ningeambiwa kaenda NCCR labda, lakini ACT..!eti atamshawishi Zitto... hahahahaaaa...!!!