ATCL: Mh Kawambwa, iko wapi ripoti ya Kashoro? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ATCL: Mh Kawambwa, iko wapi ripoti ya Kashoro?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pundamilia07, Feb 25, 2009.

 1. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2009
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kawaida wananchi tunawakilishwa bungeni na waheshimiwa wabunge, lakini pia namna gani mbunge anatuwakilisha huko bungeni, inabaki kuwa ni kitendawili.

  Mh. Dr. Shukuru Kawambwa, ninachukua fursa hii kujiwakilisha mwenyewe:


  Swali: Je iko ile ripoti ya Prof. Kashoro juu ya ATCL? Unakumbuka kuwa ulisema utaitisha kikao na waandishi wa habari mara tu tume ya Kasoro itakapomaliza kazi yake? Je, umeshafanya hivyo au ni lini utafanya hivyo?
   
Loading...