mtu aliyejiuzia nyumba ya Takukuru msasani kwa bei ya karibu na bure leo mnategemea apambane na rushwa
hii ni sawa na kusubiria kuona jinsi nzi atakavyomuua tembo ni jambo lisilowezekana na yeye mwenyewe alishasema kuwa kwa sheria na utaratibu zilizopo haiwezekani kupambana na rushwa amebakia kupalilia mkate wake wa siagi na wanawe.
Mkuu umenena japokuwa wakati mwingine yote hayo huwa yanategemeana hasa kipindi hiki ambacho tumeosa mwelekeo kiasi kwamba hata mtoto mdogo anasikia kelele kuhusu ufisadi sehemu mbalimbaliTuanze na maadili kwenye familia zetu
Twende kwenye jumuiya zetu
Ngazi zote za msingi iwe na mipango kuhusu malezi mazuri ya vijana wetu
Sheria iwe bora na tukelezaji wa uhakika siyo bla blah
You don't know what you are talking about!Hii taasisi bora isepe tu kazi iendelee kufanywa na polisi kimagumashi hivyo hivyo kuliko kuwa taasisi yenye wafanyakazi kibao ambao kazi yao ni hiyo hiyo alafu mwisho wa siku mambo yale yale. Bora hata wapewe hiyo kazi polisi wasipofanya twatasikingizia wapo busy na mambo mengine ya kiusalama
Kama viongozi wa serikali hawaipi support bora waivunje tu sasa
Wewe mjinga tokea umetimuliwa hapa kama mod umekuwa mwehu mwaka huu hauishi kabla ya kuswekwa mirembeYou don't know what you are talking about!
Naelewa nachozungumza kwa kuwa tatizo si la TAKUKURU kama TAKUKURU kwani tumeunda taasisi kwa maana ya kupambana na kuzuia rushwa lakini wahusika ambao ni serikali wanachukulia poa tu kuwa support hawa jamaa kiasi kwamba mtu kiongozi kabisa anatamka hadharani 'hawa mafisadi wana nguvu na mtandao mkubwa ni kwenda nao kwa tahadhari', unategemea nini sasa hapa kwa Hosea na timu yake. Wangepewa menu na nguvu na kuweka siasa pembeni wangefanya kazi lakini hawapewiYou don't know what you are talking about!