Dk. Hoseah aanikwa alivyokula njama kuzuia makontena yenye shehena yasilipiwe ushuru

Huyu jamaa ni kama anataka kumchafua Dk Edward Hosea how for the last twenty years akae kimya, Kwenye ripoti ya Wikileaks Dr Hosea alinukuliwa akisema uongozi wa juu ulikuwa unamzuia katika kampeni dhidi ya Rushwa.
Ninashauri uongozi wa magazeti ya Jamhuri muwe makini kukubali kuchapisha majungu bila nyie kufanyia utafiti wa kina

We unamwamini zile zilikuwa soga za Hosea na mzungu ili yeye aonekane msafi na JK ndio anyemzuia ila hamna kitu wote walikuwa vibaka na wapiga dili ukitaka kujua madudu yanayofukuliwa sasa kama kweli kulikuwa na kiongozi imara haya madudu yote asingevumilia angeomba hata kujiuzuru ndio tungeona kweli alikuwa msafi lakini dili zote zinapigwa tena chini ya kiti chake mwenyewe.
 
Hosea kuna siku alikua kwy kipindi cha dk 45 ndio nikajua huyu jamaa alikua simba kibogoyo na hana macho! No wonder hii inshu ikawa ya kweli. Kwa miaka nenda rudi he did absolutely nothing kupambana na rushwa kubwa zaidi ya kuwakamata makarani na mahakimu wa mahakama za mwanzo kwa rushwa za laki moja etc wkt bandarini kwy hela hajawai hata kufika! Ajibu hizi tuhuma haraka,akikaa kimya itadhibitisha kweli alishiriki hiii michezo
 
Back
Top Bottom