Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,197
Usalama wa taifa nao wanangojea upepo uvume. Tatizo la nchi hii kwa sasa kila mtu amekuwa ni mbinafsi kiasi kwamba hatufikirii tena jinsi ya kusukuma gurudumu la maendeleo lisonge mbele. Usalama wa taifa una mafaili ya viongozi wote na kama ni nani msafi wa chama chochote wanamjua na hao ndio wanantakiwa wajulikane wapigiwa kura za maoni tupate wagombea safi.
Mkuu, kwa mtazamo wako unataka Usalama wa Taifa wadisclose taarifa za wanasiasa wote nchini? Hao watakuwa usalama wa taifa au maadui wa taifa? Kama wakifunua kila kitu, unafikiri nini kitatokea?Usalama wa taifa nao wanangojea upepo uvume. Tatizo la nchi hii kwa sasa kila mtu amekuwa ni mbinafsi kiasi kwamba hatufikirii tena jinsi ya kusukuma gurudumu la maendeleo lisonge mbele. Usalama wa taifa una mafaili ya viongozi wote na kama ni nani msafi wa chama chochote wanamjua na hao ndio wanantakiwa wajulikane wapigiwa kura za maoni tupate wagombea safi.
Mkuu, umeeleza mambo ya msingi sana. Nakuunga mkonoTatizo ni kutoaminiana tu ....... kama idara lazima wanajua ukweli halisi na weakness ya kiutawala na mtu wa aina gani anafaa .......lakini hata hao wakuu sidhani kama wanaweza kuamini taarifa kutoka huko ili wasimamie taarifa hizo zenye takwimu za kiweledi ....... hawa walipaswa kuitwa kupewa facts za hapa tulipo kama taifa ili nao watoe mchango wao then wakae kimya ........... misimamo yao mwisho wake ni kugawa taifa tu ........
Mkuu, kwa mtazamo wako unataka Usalama wa Taifa wadisclose taarifa za wanasiasa wote nchini? Hao watakuwa usalama wa taifa au maadui wa taifa? Kama wakifunua kila kitu, unafikiri nini kitatokea?
Mkuu, mbona mnavyoelezwa madudu ya Apson na Lowasa mnakuja juu?Tumia akili hii mada sio bavicha vs uvccm!!!!
Wanasiasa wakiwekwa wazi "usalama wa taifa" unatingishikaje kwa mfano???!!
Hizi siri ndio zinaleta makundi sasa sababu kila mwenye madudu anataka awe na wa kumfichia huu ndio mtikisiko wa "usalama" sasa!!!
Wanatakiwa wawe wazi ndio "uadilifu" kupitia "tume" utafanikiwa
Mkuu kuna kitu huwa tunasahau sana tunapojadili mambo ya nchi yetu. Hawa jamaa wa usalama wa taifa tunatakiwa tuwasaidie kwa kupitisha sheria zinazofaa na kuwa-equip kisawasawa ili waweze kuilinda nchi hii vizuri zaidi na waingie kwenye field ya uchumi walau na sisi tuwe formidable force. Inabidi rais ajaye awe na plan nzuri kwa TISS na hata TISS establishment iwe na clear picture ya nani wanamtaka. Hii ya maboss waliopita kuwa na maoni tofauti kidogo inasumbua.
Mkuu, kwanza nikuhakikishie kuwa akili nilizotumia zinazidi uwezo wako kufikiri. Wewe unalishwa tu maneno ndo maana haupo consistance kwenye kuandika. Umetaja maneno tume na uadilifu bila ya kujua maana yake. Pole sana ndugu. Kajipange upyaTumia akili hii mada sio bavicha vs uvccm!!!!
Wanasiasa wakiwekwa wazi "usalama wa taifa" unatingishikaje kwa mfano???!!
Hizi siri ndio zinaleta makundi sasa sababu kila mwenye madudu anataka awe na wa kumfichia huu ndio mtikisiko wa "usalama" sasa!!!
Wanatakiwa wawe wazi ndio "uadilifu" kupitia "tume" utafanikiwa
Mkuu, mbona mnavyoelezwa madudu ya Apson na Lowasa mnakuja juu?
Inawezekana unatumia akili lakini kwa lengo gani????!!!!Mkuu, kwanza nikuhakikishie kuwa akili nilizotumia zinazidi uwezo wako kufikiri. Wewe unalishwa tu maneno ndo maana haupo consistance kwenye kuandika. Umetaja maneno tume na uadilifu bila ya kujua maana yake. Pole sana ndugu. Kajipange upya
Mkuu, binafsi naamini kuwa TISS kama taasisi inaundwa na watu ambao wanakuwa na utashi wao kisiasa. Ni sawa na TFF. Wote wanaochaguliwa kuongoza TFF wanaweza kuwa na mapenzi na ama na Simba au Yanga. Ila miiko ya kazi inawwfanya waweke pembeni mapenzi yao. Vivyo hivyo kwa TISS. Naamini kuwa wapo wenye mapenzi na CCM na wengine Upinzani. Ila inavyokuja kwenye suala la kazi, naamini kuwa mapenzi ya vyama yanakaa pembeni. Kumbuka kuwa watumishi wa TISS hawajaletwa toka mbinguni. Wamezaliwa Tanzania kwenye jamii ya kitanzania na wanaishi na watanzania kwa vile wao ni watanzania na siasa za Tanzania zinawasthiriTatizo idara ya Usalama wa Taifa imegeuzwa na CCM kama moja wapo ya vitengo vyake vya Propaganda,sitaki kuamini hawa wastaafu wameanza kupiga hizi propaganda baada ya kustaafu,no,they were doing it before kwa kujificha ficha wakiogopa kuzodolewa maana ni kinyume kabisa na taratibu za TISS
Wewe kaka una hasira sana. Kwani haiwezekani ukajibu quotation ya mtu mwingine? Na je ni vipi mjadala utaendelea kama unataka kila hoja ijibiwe na aliyeulizwa. Hoja za humu nyingi ni za general. Kila mtu anaweza kujibu. Kama Lizaboni angeulizwa specific issue kama ana umri gani, hapo nisingeingiaHii quote yangu??!!
Must be a misdestination