Dk cyrill nini kimemsibu??

Dk cyrill nini kimemsibu??

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,875
Ndugu zanguni habarizini za weekend \najua wale wa masaki sasa wako na kelele za gbisto,na nyingine nyingi
nimewiwa kuuliza dk wetu cyril nini kimemsibu
afya yake inatia huruma jamani amekuja aikumsindikiza mgen nikahisi maumivu ya tumbo..nafika nyumban leo naona kahudhuria mikutano kama miwili mitatu just kwa leo ila ukiona kwa nyuma nywele kama zinanyonyoka jamani na yale makoti kama yamemvika...kama ana weza kuomba kupumzika hii ni ushauri kwa ndugu wa karibu akapumzika kupisha wenye nguvu ..keskerli vinginevyo mahudhurio ya mikutani mitatu kwa siku mtamuua mzee wetu jamani
 
Kweli tuombeane kila iitwa po leo
 
Hivi muda wa kiongozi wa serikali, mfano waziri, kuruhusiwa kuwa on sick - leave ni muda gani? Au it remains kama discretion ya aliye mteua? Huyu ni mchumi mzuri sana, a Toronto PhD, na ile wizara ilimfaa sana. Lakini kama ni mgonjwa, apumzike tu kwani ile wizara ni kiungo muhimu sana cha uchumi wetu. Chami bado ana umri mdogo, akipata nafuu au kupona, atarudishwa tu kwenye baraza la mawaziri kwani wataalam wa aina yake miongoni mwa wabunge, sio wengi sana. Na pengine hii itampa nafasi Migiro kuwa waziri pale viwanda kwani kwa CV yake ya sasa, hawezi kupewa wizara ndogo ndogo, ni aidha Viwanda, Fedha au Foreign Affairs.
 
Cv ya migiro sisi inatusaidia nini? tunahitaji wachapa kazi wa kuiondowa hii nchi hapa ilipo na sio Cv za mtu.
 
Yaani nnimemuona jana kwenye TV nikasikitika sana. Get well and healthy Chami
 
Mawaziri watatu kutokuwa active ni pengo kubwa sana.wapumzike ili kuweka sawa afya.tunawatakia heri.
 
Hivi muda wa kiongozi wa serikali, mfano waziri, kuruhusiwa kuwa on sick - leave ni muda gani? Au it remains kama discretion ya aliye mteua? Huyu ni mchumi mzuri sana, a Toronto PhD, na ile wizara ilimfaa sana. Lakini kama ni mgonjwa, apumzike tu kwani ile wizara ni kiungo muhimu sana cha uchumi wetu. Chami bado ana umri mdogo, akipata nafuu au kupona, atarudishwa tu kwenye baraza la mawaziri kwani wataalam wa aina yake miongoni mwa wabunge, sio wengi sana. Na pengine hii itampa nafasi Migiro kuwa waziri pale viwanda kwani kwa CV yake ya sasa, hawezi kupewa wizara ndogo ndogo, ni aidha Viwanda, Fedha au Foreign Affairs.

Thank you very much... umeweka hoja ya msingi sana, ila sidhani kama watakujibu wahusika, kwani tumempa madaraka makubwa sana presidaa kufanya atakacho, labda tuende study tour kenya
 
Thank you very much... umeweka hoja ya msingi sana, ila sidhani kama watakujibu wahusika, kwani tumempa madaraka makubwa sana presidaa kufanya atakacho, labda tuende study tour kenya

Linatakiwa kuwa wazi hata kuhusu Wabunge pia.
 
Hii nchi hatuhitaji kuendelea recycle watu ambao hawajaleta chochote katika wizara zao.
 
Ni kweli Dr Chami ni raslimali muhimu nchini na umri wake unampa nafasi ya kuitumikia nchi muda mrefu, tumuombee apone haraka aendelee na majukumu yake. Najua ni mmoja (kama sio peke yake) wa wapiganaji hodari-alipambana kutoa msukumo sana serikali ikubali matumizi ya makaa ya mawe ili kupata suluhisho la kudumu la tatizo la Umeme vs majenerata ya mafuta*
 
Sorry Dr. Cyril Chami, may God heal you and give you good health. There was a time he said 'they want to kill me' who knows who?
 
Ni kweli Dr Chami ni raslimali muhimu nchini na umri wake unampa nafasi ya kuitumikia nchi muda mrefu, tumuombee apone haraka aendelee na majukumu yake. Najua ni mmoja (kama sio peke yake) wa wapiganaji hodari-alipambana kutoa msukumo sana serikali ikubali matumizi ya makaa ya mawe ili kupata suluhisho la kudumu la tatizo la Umeme vs majenerata ya mafuta*
Maskini mbunge wangu! Nakuombea kwa Mungu upone ili uje utengeneze barabara yetu ya Kishumundu, imeharibika kishenzi lami yote imebanduka.
 
Mawaziri watatu kutokuwa active ni pengo kubwa sana.wapumzike ili kuweka sawa afya.tunawatakia heri.
Kwa ukubwa wa baraza letu la mawaziri, ni heri wapumzishwe lakini wasiteuliwe wa mbadala. Kama kipindi chote wanaumwa kazi ziliendelea kama kawaida, hii inathibitisha kutokuwepo kwao hakuna madhara yoyote. Kwa hali tuliyo nayo kiuchumi, kimefika sasa kipindi tupunguze gharama za kuendesha serikali kwa kupunguza wingi wa mawaziri tulio nao.
 
Get well soon my class and college mate Cyril!!!!!

Tiba
 
Jana alionekana kwenye TV amechoka sana kama sio mtangazaji kumtaja huwezi kumtambua anahitaji bado kupumzika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom