Dk. Batilda kapoteza mtoto

Hapa ni pa matokeo siyo mimba.
 

hapo kwenye bold mkuu...

unataka kusema huyu mama hana mume? huyo Buriani ni nani kama si jina la mumewe????:bowl:
 
haina shida wataweka mwingine ila ubunge kuupata tena ni muda mrefu
 

Hebu punguzeni uwongo kwenye hizo tetesi zenu!

Jee aliwatangazia kuwa ana mimba?

Pili yeye ameolewa na ana mume sasa hiyo kuwa baba hajulikani alikwambia nani?

Hata kama hamumpendi lakini uzushi mwengine umezidi kiwango. Kama huna kazi katafute mbege unywe.
 
unataka kusema huyu mama hana mume? huyo Buriani ni nani kama si jina la mumewe????

Hizo ni affairs za watu..let us disscuss things that matter!
 
Hilo jambo kiukweli hapa siyo mahali pake maana litatuvunjia hata sisi wenyewe tunaojadili jambo kama hili. Hebu fikiria kama Lema angepata pressue au chochote kibaya baada ya kushindwa ungesemaje. Kama ni kweli nampa pole sana Batlida na MUNGU ampe ahueni apone haraka. Siasa siyo vita.
 

Ina maana ana kitambi kama cha wanaume? sasa anawezaje yale majamboz...?
 
Kwa kweli inatia uchungu sana kama mama amefikia kupoteza mtoto wake, jokes na siasa aside sisi watz ni tunatakiwa tufarijiane hsa wakati wa shida

Pole Batila (kama ni kweli) na pia Buriani batilda ubunge ndo baibai... labda wakupe wa KITU maalaum
 
Sikupenda tone ya hii post na hizo animations alizotumia mwisho wakati anatoa taarifa inayohusiana na KIFO. Tufanye utani wa kila aina na kejeli za kila aina kwenye siasa lakini mambo ya kifo tuyaache
 
Narudia tena. Tatizo la wagombea wa CCM hawakujiandaa kushindwa kitu ambacho ni kibaya sana ktk mashindano yeyote yale.
Wa chadema walijiandaa kushindwa???. Angalia Mgombea wa Tarime alijiandaa kushindwa yule??? Haya sasa alizani kama we chadema ukienda Tarime unashinda, haya imekula kwake, naye mpeni maneno.
 
This are not news to rejoice on. Mwenzio akipata matatizo hata kama ni adui yako, you dont hat to rejoice. Politics is politics and human life is human life which its value can not really be established. Also remember Batilda is married to Buriani na hivyo kama alikuwa na mimba, then mimba ina baba! Pale penye ukweli tuseme na kama ukweli hatuujui tuache kusambaza sumu ya umbea!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…