Sera ya chama kimoja yaani Ukomunist ktk zama hizi ambazo hiki chama changu hakikotayari ni vile ni kulishwa kisichopendwa ili kuupata uasi halisi katika siasa za kuogopa hoja wakati inatakiwa ijibiwe kwa hoja pasipo kutunisha misuli hata Savimbi , John Ngarah na Alfonce Jakama wa Msumbiji hizo zilikuwa ni zama zao kwani hayo hayawezekani kwa sasa hizi ni zama mpya ktk kizazi kisichoambiwa subiri wakati subira sio faida ni hasara na hiyo hasara nani anahitaji kwa wakati huu
Hicho chuo cha ccm kitakuwa kinafùndisha ujinga na uzuzu