Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 69,520
- 122,897
Kweli kabisa Nape anahitaji kupikwa.
Anahitaji kupikwa au anatakiwa kufundishwa kumnyenyekea jiwe?
Kweli kabisa Nape anahitaji kupikwa.
Hivi kati ya Bashiru Ally na Nape ni nani sinior ndani ya ccm?? Ni nani anaekifahamu chama vizuri??Kwa CCM ya wahuni ya hawa akina Polepole nani anaeweza kumtengeneza Nape hata kama ana mapungufu yake..??
CCM yote ya sasa imejaa wahuni.
Watamkumbuka sana Kinana
Mvuto wa nini?huyo bushiru hana mvuto hata akiongea,angebaki tu kuwa mwalimu-tatizo la CCM wanadhani kila anayefundiha anaweza kuwa mwanasiasa.
Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bshiru Ally amesema licha ya kuwa Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye ni kiongozi mzuri na alikuwa mwenezi wa CCM lakini bado anahitaji kupikwa.
Rudi soma historia yake Dk bashiru ally toka UDSM.Kupikwa yy kapkwa wap na nan?tuanzie hapo
Mkuu umeongea mantiki sanahuyo bushiru hana mvuto hata akiongea,angebaki tu kuwa mwalimu-tatizo la CCM wanadhani kila anayefundiha anaweza kuwa mwanasiasa.
Kweli kabisa.Ninachokijua mimi na ninachokiamini, Nape anakijua chama vizuri zaidi ya Bashiru.
Kweli kabisa mkuu! Me namwelewa Sana Nape kuliko huyu BashiruKweli kabisa.
Mimi niliwahi umuhimu lazima utaonekana dawa kuna mahali wanachama wenzangu wa ccm lazima wafike mahali wajue siasa ni hoja ni ubabe kuzuia Upinzani kufanya shughuli zao za kisiasa ni kujifariji tutawapata wanachama wa Upinzani na hisi hawajui yakuwa haiwezekani kwani watu wanaishi na Itikadi zao Rohoni na kuzidi kuongeza chuki kwa watu wa upinzani.
Nape amepita ktk zama za kuzomewa mitaani ni nani anayehitaji kupikwa