Dk 45 ITV: Wassira anazungumza juu ya Katiba Mpya

Dk 45 ITV: Wassira anazungumza juu ya Katiba Mpya

Wasira ni dead brain. Huyu ni kati ya watu ambao hata wakifa leo wananchi hawana jambo la kuwafanya wawakumbuke maana waliishi kama vile wao ni wa mwisho kuishi Tanzania.

Hahahaha Wassira anasema UKAWA hawataki kurudi lakini hawana hoja!

Kwakweli Wassira anatoa somo kwa UKAWA!
 
Wassira anasema iliyokuwa inajadiliwa ni Rasimu na hata UKAWA walishiriki!
 
Wasira ni dead brain. Huyu ni kati ya watu ambao hata wakifa leo wananchi hawana jambo la kuwafanya wawakumbuke maana waliishi kama vile wao ni wa mwisho kuishi Tanzania.
Acha mambo ya kitoto!
A
 
Ndani ya CCM kwa sasa kuna watu ama waliopungukiwa na uelewa au wale wanaoishi kwa kutumikia matumbo yao kwa nguvu zao zote. Watanzania walimwamini Kikwete wakampa kura 2005 lakini baadaye imedhihirika wazi kosa walilolifanya Watanzania.
 
Ninachoona anajikosha zaidi.anaonyesha kusinyaa sana.
 
Yuko live dk.45 za ITV sasa hivi,anasema Lipumba alikasirika kwa sababu Lukuvi alitoa maoni juu ya Katiba Mpya kanisani(READ:Lipumba ni mbaguzi na hivyo hapendi kusikia Wakristo wakiongea)

Zee jinga sana huwezi sema maneno kama hayo kwa wakati kama huu
 
Hichi kimelipiwa na Ccm? maana Wasira hapo ITV kama sebuleni kwake.

Hivi muda wa kuajili watafiti uchwara kama Synovate bado?
 
Wassira anamwaga data kwa weledi wa hali ya juu.

Namsikiliza kwa makini sana!

Mkuu acha mbwembwe,data zilimwagwa mchana wa leo kuanzia saa tisa mpaka kumi na mbili pale Ubungo plaza.
 
Eti na yeye anautaka uraisi. Bora tuendelee kuchagua sura kuliko hii kitu.
 
Naona Wassira anaanza kujipigia debe sasa, anasema kuwa anajua matatizo ya Watanzania! Kwake yeye ni Umasikini, Tatizo la Ajira na Ufisadi! ... anajua issues za Ujangili!!! ... Amenifanya nicheke ghafla... CCM wamekuwa kama Meli ya Pirates! Kila mwenye silaha anatamani ku-shoot .... Ole wao Wamteu Mwingine badala ya Lowassa watajua kuwa Mchicha ni Mboga ...
 
anashindwa kujenga hoja ati hajui nin maana ya ukawa

Huyu na kundi lake la wafafidhina wanazidi kujidharirisha na kupoteza mvuto....watajuta wakiendelea kulazimisha mambo kukidhi ulafi wao
 
Wassira ana wasihi UKAWA warudi nchi ni yetu sote!
 
Naona Wassira anaanza kujipigia debe sasa, anasema kuwa anajua matatizo ya Watanzania! Kwake yeye ni Umasikini, Tatizo la Ajira na Ufisadi! ... anajua issues za Ujangili!!! ... Amenifanya nicheke ghafla... CCM wamekuwa kama Meli ya Pirates! Kila mwenye silaha anatamani ku-shoot .... Ole wao Wamteu Mwingine badala ya Lowassa watajua kuwa Mchicha ni Mboga ...
Umeanza vizuri lakini umemaliza kwa hoja pumba kuhusu uteuzi!!
 
Yuko live dk.45 za ITV sasa hivi,anasema Lipumba alikasirika kwa sababu Lukuvi alitoa maoni juu ya Katiba Mpya kanisani(READ:Lipumba ni mbaguzi na hivyo hapendi kusikia Wakristo wakiongea)
Hajui anazidisha chuki dhidi ya waislamu kwa CCM!
 
-------- Yule nani amusikilize!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom