Dj ommy yupo wapi siku hizi?

mhalisi

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
1,181
318
Wadau wa jf naamini wengi mtakuwa mnamkumbuka dj ommy ambaye alikuwa redio one miaka ya nyuma, je kuna mdau yeyote ana habari dj huyu yupo wapi siku hizi
 

aye

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
2,102
701
nenda maisha club yupo pale mda wote na bodaboda yake kawa mpambe wa clouds pale
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom