DJ Mark namba moja

Huwa ana tafsiri au ana HADITHIA?

#YNWA

Wrote from Anfield..!!
 
Tangu utoto sijawahi kumkubari lufufu. alikuwa na kingereza cha kuunga unga tu movei za subtitlle zilikuwa zinamuumbua.wengi walikuwa wanapenda maneno yake tu mfano akakaweka kwenye kanyapasila N.k.na pia yeye ndio muanzilishi kwahiyo wahenga wote aliwakamat ..halafu kikaja kizazi cha kina dj mack na juma khan Na sasa kuna madjs wengine nao wanajipatia kizaz chao wakina murph n wengine(wengi wao wanatafasir seazon) Lakin mack na juma khani ni moto Achechee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…