Kazi yake ni kuwachukua wasanii wakali, anawalipa wanaingia studio wanaimba na mwisho wa siku mmiliki wa huo wimbo ni Dj Khaleed. Kibongo bongo Dj Choka nae anacopy style hiyo.
mjanja mjanja tu hamnaga rapper pale na hata awards zake na nominations zake zote alizopata ni za udj au collabo ambayo yeye kapiga makelele mengi kazi wamefanya wenye fani yao
Mzee wa Kelele Huyo jamaa DJ na Producer atakuwa Club kubwa yeye Radio kubwa yeye kwahiyo Wasanii wa hip-hop watakuwa na Huyu mtu zaidi nyimbo zao zitese DJ Khaled anajuwa anachokifanya na walio karibu naye wanajuwa nini wanakifanya Kuwa karibu naye Kama P Diddy ila P Diddy smart zaidi angalau alikuwa anaimba na mfanya biashara Mzuri.
Sababu nimemuweka kwenye sehemu moja na mazungumzo ya DJ Khaled haimaanishi nimemzarau ndomana nikasema P Diddy ni mfanya biashara Mzuri ila kwenye kuimba naye alikuwa anadonoa tu Hilo tukubali tuwache upambe uliozidi mipaka kila mtu anajuwa sehemu aliokuwa DJ Khaled na aliokuwepo P Diddy.mkuu hebu mtake radhi diddy huwezi kumlinganisha na dj khaleed
Sababu nimemuweka kwenye sehemu moja na mazungumzo ya DJ Khaled haimaanishi nimemzarau ndomana nikasema P Diddy ni mfanya biashara Mzuri ila kwenye kuimba naye alikuwa anadonoa tu Hilo tukubali tuwache upambe uliozidi mipaka kila mtu anajuwa sehemu aliokuwa DJ Khaled na aliokuwepo P Diddy.
Kazi yake ni kuwachukua wasanii wakali, anawalipa wanaingia studio wanaimba na mwisho wa siku mmiliki wa huo wimbo ni Dj Khaleed. Kibongo bongo Dj Choka nae anacopy style hiyo.
mjanja mjanja tu hamnaga rapper pale na hata awards zake na nominations zake zote alizopata ni za udj au collabo ambayo yeye kapiga makelele mengi kazi wamefanya wenye fani yao
diddy hata kuimba yupo vizuri tofauti na dj khaleed coming home imeshawahi kushika namba moja billboard na mashairi yote kaimba mwenyewe tofauti na dj khaleed ambaye nyimbo zake zikianza atalitaja jina lake kisha atasubiria waimbe wengine hata kiitikio haimbi yeye anamtegemea t-pain karibu nyimbo zote
diddy kamuacha pakubwa sana dj khaleed
Duuu sio mchezo sasa hivi jina lake linaweze kujulikana zaidi kwa mpango huo???maana na hao watu si anawalipa hela nyingi??