Tetesi: DJ Fetty aondolewa Clouds Media kwa madai ya Kuikosoa Serikali

Tetesi: DJ Fetty aondolewa Clouds Media kwa madai ya Kuikosoa Serikali

JOHNGERVAS

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2016
Posts
1,449
Reaction score
2,496
Kwa mujibu wa andiko la Martini Maranja Masese, licha ya Dj Fetty Kukidhi vigezo vyote vya Kitaaluma kwa Mujibu wa Bodi ya Ithibati, ameondolewa akzini.

ANDIKO LENYEWE HILI HAPA KAMA NI KWELI NI DALILI MBAYA SANA

Pole sana Bi. Fatma H. Ahmed (@thebestfetty). Tunaelewa kwamba wenye mamlaka wameelekeza uondolewe katika kipindi cha #PowerBreakfast ndiyo maana wasikilizaji hawasikii sauti yako. Tunaelewa, mwajiri wako amepewa maelekezo na amepokea. Kwamba (wewe) ni mkosoaji. Kwa kuwa wewe ni mwanahabari nguli uliyekidhi vigezo vyote vya kitaaluma, usivunjike moyo. Tumia mitandao yako ya kijamii kuendelea kuhabarisha umma. Faida itakuja kesho. Katika ulimwengu wa sasa, mainstream media siyo mlango pekee wa kufanikiwa katika tasnia ya habari na mawasiliano. Social Media ni jukwaa kwa kila mtu. Jikite hapa. Tutakusoma na kukusikiliza. Usijute na kuumizwa na jambo hilo. Bosi wako ameshindwa kukulimda mbele ya meza ya watawala. Bosi wako ameamua kuwa mbinafsi. Naelewa, kwa heshima uliyonayo kwake, na labda hofu ya kuikwaza mamlaka, hutoweza kusema lakini sisi TUTASEMA kwa niaba yako. USIOGOPE. Wenye hatia wanayo hofu. The guilty are afraid.
 
Waambie yesu kristo ni bwana na mwokozi haya madaraka watayaichia kwa uchungu huku wakioza makaburini,waambie wamrudie bwana,wakumbushe wenye kiburi walivyolala makaburini wakioza walikuwa na kila kitu
 
Back
Top Bottom