Dizasta Vina, msamehe Rapcha

Dizasta Vina, msamehe Rapcha

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,132
Reaction score
10,514
Dunia ya muziki wa hip hop mara nyingi hukumbwa na misukosuko ya wasanii kuwa kwenye kutokuelewana ama bifu, lakini mashabiki wengi sasa wanaamini ni muda sahihi kwa Disasta Vina kumfungulia tena milango Rapcha.
images (64).jpeg

Vijana hawa wawili wamewahi kuandaa vibao vilivyotikisa, lakini ule mstari maarufu “Juzi juzi tu ulikuwa mtoto pori, leo unaita wachumba inbox mpigie story” ndio ulioibua mtikiso uliofanya Rapcha aonekane amevurugika na kupoteana.
Dizasta_Vina.png

Rapcha amerudi tena na kuachia video ya wimbo wa “Lissa 2”, kitu ambacho kinaashiria kwamba huwenda amejifunza, ama amekomaa na yupo tayari kuendelea na game. Sio kila bifu lazima liishe kwa hasara, bali linaweza kuibua ukuaji na heshima zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom