Dizasta Vina, msamehe Rapcha

Dizasta Vina, msamehe Rapcha

VIjana mkoshavuta mabangi, mnaakauka midomo vijiweni Hip hop. Hip hop. Nani mkali

Sijui nani ni nani.

Njaaaa kaliiiiii.

Kina Babu tale ambao hawajui hata kuandika wanatafuna mipesa ya wasaniii.

Pumbavuuuiii
Mkuu! Tazama replies zote uone kama umepata mtu wa kukuunga mkono! Sio kila mada unapaswa kuweka neno! Zingine pita tu
 
Mkuu! Tazama replies zote uone kama umepata mtu wa kukuunga mkono! Sio kila mada unapaswa kuweka neno! Zingine pita tu
Mngepeana basi hizo stori kwenye vijiwe vyenu vya bangi mjadili.

Hii ni public platform.

Wenzako wanaugulia kimya kimya.
 
Mkuu! Tazama replies zote uone kama umepata mtu wa kukuunga mkono! Sio kila mada unapaswa kuweka neno! Zingine pita tu
Sihitaki mtu wa kuniunga mkono.

Niko hapa kuwachana misukule kama nyie, ambao akili zenu ni zero
 
Dizasta anachana tuliwahahi kutana nae pale MaKanTa mbeya
Huwa harembi!
 
Kwenye Tribulation, Dizasta aliandika vitu ambavyo vingine inabidi utafute kamusi au ufafanuzi ili kumuelewa
Kuna ile ngoma Kiingereza 😃 Mule katembea mpaka anaboa 😃
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom