Dizasta Vina, msamehe Rapcha

Dizasta Vina, msamehe Rapcha

Dunia ya muziki wa hip hop mara nyingi hukumbwa na misukosuko ya wasanii kuwa kwenye kutokuelewana ama bifu, lakini mashabiki wengi sasa wanaamini ni muda sahihi kwa Disasta Vina kumfungulia tena milango Rapcha.
View attachment 3478003
Vijana hawa wawili wamewahi kuandaa vibao vilivyotikisa, lakini ule mstari maarufu “Juzi juzi tu ulikuwa mtoto pori, leo unaita wachumba inbox mpigie story” ndio ulioibua mtikiso uliofanya Rapcha aonekane amevurugika na kupoteana.
View attachment 3478004
Rapcha amerudi tena na kuachia video ya wimbo wa “Lissa 2”, kitu ambacho kinaashiria kwamba huwenda amejifunza, ama amekomaa na yupo tayari kuendelea na game. Sio kila bifu lazima liishe kwa hasara, bali linaweza kuibua ukuaji na heshima zaidi.
Hivi ni kweli hakuna bishoo anaeitwa kosmas 😅😅😅... Kuna ile line anamwambia wenzako wanapata mademu wakiniquote Mimi...
 
Unahisi nani atakimbia hao wakiamua kuchangamsha game? Chochote kinawezekana coz hata p na Niki mbishi nakumbuka waliingia kwenye huu upande, futi sita ya p mawenge ikamnyamazisha mbishi😅😅
Wale nao walitufelisha sana! Baadaye wakaja kuwa pamoja KIKOSI KAZI
 
Sasa kwanini dogo a hold grudge to the point ambayp hata salamu kwa Dizasta hataki?

Unaelewa kwenye Remix ya Underrated ya Stamina, Rapcha alialikwa kwenye collabo ila baada ya kugundua na Dizasta yumo, dogo akasusa?

Dogo aliweka kiapo cha kufa na hapo ndio napoona alizingua kwasababu diss haipaswi kuchukuliwa too personal.

Motra na P walipasuana lakini still ni washkaji na wakikutana wanapiga stori nyingi.

Nikki na Weusi wanatupiana maneno kuanzia kwenye track mpaka interview, lakini juzi TUKUSA pale Arusha walimualika Lord Eyes na akafanya show kali kila mtu akafurahia.

Dogo inabidi ajue nature ya Hip hop ni nini ili kujiepusha na sumu ya chuki ambayo inamtafuna mwenyewe kwasababu ni yeye tu ndio aliyeweka vitu kifuani lakini mwenzake anajua misingi na hachukulii personal kama yeye.
 
Niki alisanda pale, P akipewa pen na karatasi huwa hafai kabisa, ni ananyoosha mwanzo mwisho... Niki huwa hatulii kwenye mada moja.
 
Sasa kwanini dogo a hold grudge to the point ambayp hata salamu kwa Dizasta hataki?

Unaelewa kwenye Remix ya Underrated ya Stamina, Rapcha alialikwa kwenye collabo ila baada ya kugundua na Dizasta yumo, dogo akasusa?

Dogo aliweka kiapo cha kufa na hapo ndio napoona alizingua kwasababu diss haipaswi kuchukuliwa too personal.

Motra na P walipasuana lakini still ni washkaji na wakikutana wanapiga stori nyingi.

Nikki na Weusi wanatupiana maneno kuanzia kwenye track mpaka interview, lakini juzi TUKUSA pale Arusha walimualika Lord Eyes na akafanya show kali kila mtu akafurahia.

Dogo inabidi ajue nature ya Hip hop ni nini ili kujiepusha na sumu ya chuki ambayo inamtafuna mwenyewe kwasababu ni yeye tu ndio aliyeweka vitu kifuani lakini mwenzake anajua misingi na hachukulii personal kama yeye.
Yaah man 😃 dogo ameyabeba
 
Aliyemshauri Rapcha kamshauri vibaya na sehemu aliyoingia sio saizi yake kwanza
Niki anapiga kotekote
Tatizo siku hizi amejaa maneno mengi, ingawa siwezi mvunjia heshima... Yuko vizuri.
 
Aliyemshauri Rapcha kamshauri vibaya na sehemu aliyoingia sio saizi yake kwanza
Tatizo siku hizi amejaa maneno mengi, ingawa siwezi mvunjia heshima... Yuko vizuri.
Na wanasema aliondoka kwa Majani dogo akiwa anavimba hatari! Kiburi kipo 🔥
 
Miaka kadhaa nyuma nilikuwa nafuatilia sana Hip Hop, baadae nikaja gundua ni haina tifauti na taarabu sema inaimbwa kwa namna tofauti.

Ila ni mwendo wa kupashana na kupeana mipasho.
Hip-hop Ina nguzo moja inaitwa MC na kuna nyingine inaitwa knowledge so hayo majigambo na kurushiana maneno ya kupimana ubavu huwa yanabaki kwenye hiyo nguzo ya MC...
 
Aliyemshauri Rapcha kamshauri vibaya na sehemu aliyoingia sio saizi yake kwanza
Tatizo siku hizi amejaa maneno mengi, ingawa siwezi mvunjia heshima... Yuko vizuri.
Nikki ni mtu makini sana japo kuna muda anafanyaga makuzi.

Napenda sana kufuatilia interview zake, jamaa naweza kusema ni top kwenye ujibuji wa hoja linapokuja swala la interview.
 
Unahisi nani atakimbia hao wakiamua kuchangamsha game? Chochote kinawezekana coz hata p na Niki mbishi nakumbuka waliingia kwenye huu upande, futi sita ya p mawenge ikamnyamazisha mbishi😅😅
Sio kwa watu wa mbeya kaka ni ngumu sana kutoleana diss track japo me naamini incase kwenye hii 0.01% wakitoa Dizasta atafunika japo battle itakuwa ngumu sana
 
Ndio kina nani hawa? Sioni real ya Hip Hop hapo.
Wachumba tyuuh.
Ukimuita Dizasta mchumba utakuwa hujamsikiliza, pata muda usikilize kazi zake utakuwa vizuri, mwenyewe nilikuwa namchukulia poa mpaka pale niliposikiliza kazi zake ndio nikajua huyu jamaa ni level nyingine.
 
Sasa kwanini dogo a hold grudge to the point ambayp hata salamu kwa Dizasta hataki?

Unaelewa kwenye Remix ya Underrated ya Stamina, Rapcha alialikwa kwenye collabo ila baada ya kugundua na Dizasta yumo, dogo akasusa?

Dogo aliweka kiapo cha kufa na hapo ndio napoona alizingua kwasababu diss haipaswi kuchukuliwa too personal.

Motra na P walipasuana lakini still ni washkaji na wakikutana wanapiga stori nyingi.

Nikki na Weusi wanatupiana maneno kuanzia kwenye track mpaka interview, lakini juzi TUKUSA pale Arusha walimualika Lord Eyes na akafanya show kali kila mtu akafurahia.

Dogo inabidi ajue nature ya Hip hop ni nini ili kujiepusha na sumu ya chuki ambayo inamtafuna mwenyewe kwasababu ni yeye tu ndio aliyeweka vitu kifuani lakini mwenzake anajua misingi na hachukulii personal kama yeye.
VIjana mkoshavuta mabangi, mnaakauka midomo vijiweni Hip hop. Hip hop. Nani mkali

Sijui nani ni nani.

Njaaaa kaliiiiii.

Kina Babu tale ambao hawajui hata kuandika wanatafuna mipesa ya wasaniii.

Pumbavuuuiii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom