Hazina uhusiano wa kimaudhui.Hatia ya nne si alikufa
Kazingua kuleta ya v
Hebu Soma ulichoandika jibu lipo humo humo
hatia iv ni wimbo na nusu, stori vina na flow ilikua motoDizasta ni genius, ni Messi wa Rap.
Hatia V ni Masterpiece,
lakini kwa mtazamo wangu katika mfululizo wa hizi Hatia (Hatia 1-5), hatia 4 itabaki kuwa kali zaidi.
Hahah yule aliekufa ni John, huyu aliejiua humu ni father.Hatia ya nne si alikufa
Kazingua kuleta ya v
huyo John si alikua ni yeyeHahah yule aliekufa ni John, huyu aliejiua humu ni father.
Acha limkute alilolitaka.Ndugu yenu rapcha kayakanyaga
Amepewa shuleNdugu yenu rapcha kayakanyaga

sana, jamaa ni balaaaKwa wapenzi wa hiphop hivi mmepata na nafasi ya kusikiliza hii nyimbo mpya dizasta vina hatia V aisee kuna ubunifu mkubwa umetumika sana humo hata akifa leo nyimbo zake zitasikilzwa milele jamaa anajua sana. Vipi maoni yako mwana #JF #DIZASTAVINA #HATIA View attachment 2459885
Huyu ni Mcee kumbukaBinafsi sijaona Kama dizasta n msanii mkali wa hip-hop Kama inavojaribu kutajwa humu.
Kwani Hana hit song ambayo imetoboa nje ya jamii ya wapenda hip-hop yaani kwa wale wasiokua mashabiki Lia Lia wa hip-hop...
Ngoma ambayo ilifanya vizuri kwenye platform mbalmbali Ni kanisa tu. Hizo zingine bado ziliishia kwetu tu wapenda hip-hop nazani Ni Muda Sasa ajitafute afanye muziki unaopenya kila angle...
Angalie kina Nikki mbishi, young killer, nash-mc, one hata stereo waliwezaje...