Rapcha amemjibu Dizasta, ngoma inaitwa Nyu'clear Story Freestyle. kasema mengi humo ila moja lililofanya nimpuuze ni ile kusema kuwa Freestyle zake ni kubwa kuliko career nzima ya Dizasta.
Ila all in all the kid went hard kinyama kwenye hii. Sina shaka na uwezo wa Dizasta kwenye kujibu hiyo diss, ila nina shaka na kama kweli anaweza kuamua kuijibu.
Dizasta vina hawezi kwenda mainstream eti kwa sababu amedisiana na Rapcha, na nimeskia pia Rapcha kampiga na hiyo Line kwamba kwakuwa kamtaja basi inabidi Dizasta atusue lasivyo atampiga makosi ya AssNamshukuru sana Rapcha kwa kujibu Diss ya Dizasta
Maana hakuna nachosubiri hapa zaid ya Best friend-2
Game is on [emoji91][emoji91]
Dizasta kupitia hii dis naona watu wengi wameanza kumfatilia hope atapata airtime aende mainstream
[emoji1666][emoji1666]Naona kuna watu wanasema dizasta vile hivi,, nabaki nacheka afu nakumbuka kuwa sio kila mtu anaweza kuimba nessun dorma ni wachache tu, na hao wachache wanakubalika na wachache
Naomba ngoma za msanii yeyote yule ambaye ana album mbili au 3, zenye philosophy ya kufikirisha kama dizasta,,
Sitashangaa kama mtu ataniponda kama anasikiliza ngoma kama the confession of a mad philosopher na anatoka kapa
[emoji1666][emoji1666]Watakwambia mwamba anatoka nje ya biti[emoji23]
Mara hana flow nzuri and so so sooo
Dizasta anajua sana.!But kila mtu anapenda vitu vyake
Lazima niheshimu maoni yao!
Kwangu mimi namkubali Dizasta sababu ya uandishi coz napenda kusikiza between the lines na sio flow tu wala beat.but content
Lyricist bora kwangu atabaki Fid Q,Dizasta na One incredible..over!!
Wengine nawakubali lkn kwa vitu kama freestyle/flow n.k
Ila kwa uandishi hao jamaa watatu ni miamba sana.
[emoji91][emoji91][emoji1666][emoji1666]Kwa flow kweli dizasta kuna watu wanajua,, kama mwamba uno the incredible,, ila flow kila mtu ana flow,, tatizo what's the content unasikiliza ngoma ya dizasta kama confession of a mad man unataman kujua what happened later,,
Wanasema hana flow nzuri wamesikiliza ngoma ya money,, wajue dizasta sio aina ya wasanii wao ambao ukiwapa ngoma ya dk 8 bila chorus hawatoboi.
Ukweli usemwe he's the verteller sio kwa bahati mbaya,, na mijitu haifatilii mambo,, ngoma yake ya kwanza kabisa kwenye album ya verteller alisema mabibi na mabwana dizasta vina ni verteller,,
[emoji1666][emoji1666]wanaoponda flow ya Dizasta wajue yale ni maamuzi tu. Kwenye Nyimbo kama Harder na No body is safe 2 kaflow kama hao maintream rappers. jamaa kaidefine game upya, karise bar.
Hii hajib DizastaRapcha amemjibu Dizasta, ngoma inaitwa Nyu'clear Story Freestyle. kasema mengi humo ila moja lililofanya nimpuuze ni ile kusema kuwa Freestyle zake ni kubwa kuliko career nzima ya Dizasta.
Ila all in all the kid went hard kinyama kwenye hii. Sina shaka na uwezo wa Dizasta kwenye kujibu hiyo diss, ila nina shaka na kama kweli anaweza kuamua kuijibu.
We jamaaaa unamfatilia sana Dizasta[emoji1666][emoji1666][emoji1666]Dizasta vina hawezi kwenda mainstream eti kwa sababu amedisiana na Rapcha, na nimeskia pia Rapcha kampiga na hiyo Line kwamba kwakuwa kamtaja basi inabidi Dizasta atusue lasivyo atampiga makosi ya Ass
Dizasta vina ataingia mainstream pale atakapoamua mwenyewe kubadirika, kulegeza uandishi wake na kuanza kutumia beat laini bila kusahau kuwa karibu na baadhi ya watu Fulani kwenye industry
Dizasta vina ni msanii ambae yeye mwenyewe haitaji kwenda mainstream na hili ashalitolea sana ufafanuzi, hataki kwa sababu itamlazimu abadirike kwenye vitu vingi sana
Anasema itamtaka abadirike vile anavofikilia, abadirike vile anavyoandika, abadirike life style na vitu vingi ambayo yeye anaona hayupo teyari
Anachosema yeye ni kwamba msanii akiwa underground stream ndio sehemu ambayo anakuwa huru kuandika chochote kile ambacho anaona ni sawa, nayeye anapenda kuendelea kuwa huru maana anaamini mashabiki wake wanastahili kilicho Bora
Mwisho wa siku anachotaka yeye ni mashabiki kumfata yeye alipo na sio kuwafata mashabiki walipo, na actually with time hii kitu itakuja kutokea, maana anajitangaza kutokana na ubora wa kazi zake na sio skendo,Kiki wala Diss track
Kwa Dizasta vina ndie "Most Influencer underground Stream Rapper" na pia ndie msanii peke kutoka underground stream ambae anafatiliwa zaidi kuliko ata baadhi ya wasanii ambao wapo mainstream
Ndio mkuu, jamaa nimewahi kuwa karibu nae kipindi tunaskuli university akiwa na harakati zake za hip-hop ndomana napenda kumfatilia...! Jamaa ana misimamo yake anayoijua yeye mwenyewe tangu kitamboWe jamaaaa unamfatilia sana Dizasta[emoji1666][emoji1666][emoji1666]
Misimamo ya Tamaduni kama wanaharakati lakini kwa nini huwa wana bifu na mainstream artistsDizasta vina hawezi kwenda mainstream eti kwa sababu amedisiana na Rapcha, na nimeskia pia Rapcha kampiga na hiyo Line kwamba kwakuwa kamtaja basi inabidi Dizasta atusue lasivyo atampiga makosi ya Ass
Dizasta vina ataingia mainstream pale atakapoamua mwenyewe kubadirika, kulegeza uandishi wake na kuanza kutumia beat laini bila kusahau kuwa karibu na baadhi ya watu Fulani kwenye industry
Dizasta vina ni msanii ambae yeye mwenyewe haitaji kwenda mainstream na hili ashalitolea sana ufafanuzi, hataki kwa sababu itamlazimu abadirike kwenye vitu vingi sana
Anasema itamtaka abadirike vile anavofikilia, abadirike vile anavyoandika, abadirike life style na vitu vingi ambayo yeye anaona hayupo teyari
Anachosema yeye ni kwamba msanii akiwa underground stream ndio sehemu ambayo anakuwa huru kuandika chochote kile ambacho anaona ni sawa, nayeye anapenda kuendelea kuwa huru maana anaamini mashabiki wake wanastahili kilicho Bora
Mwisho wa siku anachotaka yeye ni mashabiki kumfata yeye alipo na sio kuwafata mashabiki walipo, na actually with time hii kitu itakuja kutokea, maana anajitangaza kutokana na ubora wa kazi zake na sio skendo,Kiki wala Diss track
Kwa Dizasta vina ndie "Most Influencer underground Stream Rapper" na pia ndie msanii peke kutoka underground stream ambae anafatiliwa zaidi kuliko ata baadhi ya wasanii ambao wapo mainstream
Hivi inamaana Raptcha anaona wivu dada yake Dizasta kupakatwa?Nimetoka kuisikiliza ngoja tuone vina atajibuje
Kumbe mwamba umepiga nae university mzeeNdio mkuu, jamaa nimewahi kuwa karibu nae kipindi tunaskuli university akiwa na harakati zake za hip-hop ndomana napenda kumfatilia...! Jamaa ana misimamo yake anayoijua yeye mwenyewe tangu kitambo
Jamaa alikuwa atheism tangu miaka ya 2015 hadi kupelekea kulichana KANISA, wakati huo sie wengine ata hatujui chochote kuhusu atheists
King of "Bilingual""achieving greatness" inajadiliwa lini?View attachment 2478737
Kumbe mwamba umepiga nae university mzee
Chuo gani alisoma na course gani
Ilo la atheist nililigundua kupitia mashairi yake
Jamaa kuwa comfortable na u-underground nilimskia mwenyew akifafanua kupitia interview
Jamaa linajikubali sana kitu ambacho ni kizuri lakini kuna gharama anailipia
Mi ni shabiki yake naweza sema namba moja ( He's my favourite rapper) na of course ni mwanafalsafa mwenzake japo tunapishana kimtazamo at point still he's the best to me
I wish him all the best nna uhakika anayayajua na kuyasema na hela anazozipata kupitia hiki anachokifanya havilingani, ni kama industry inamdhulum
I wish to meet him in person one day
Mbishi waga ana shida zake tu binafsi mkuu, pride huwa inamzidi, Mbishi ndie naweza kusema msanii ambae yupo obsessed na kwenda mainstream kuliko msanii yoyote yule tangu yupo Tamaduni hadi kikosi kaziMisimamo ya Tamaduni kama wanaharakati lakini kwa nini huwa wana bifu na mainstream artists
Mfano Nick mbishi huwa naona live ana stress za kuwa na jina kubwa kwa fans wake ambao hawawezi mpa hiyo hela anayostahili ndio maana anakuwa bitter kwa wasanii ambao wanapewa hiyo spotlight ambayo haitamani kishingo upande
By the way, mimi sio pro fan wa Hip pop lakini napenda nyimbo zenye punchlines za kufikirisha na sio za kunogesha flow,
Hiphop ya kumbadilisha mtu mindset
Ukiwa na list yenye wimbo kama sihitaji marafiki ya Fid au misemo ya FA, nibariki nazo nikazisikiliize mkuu[emoji1431][emoji1431]
Ngoma moja inaitwa kama kalapina na ile skia skiza skika"achieving greatness" inajadiliwa lini?View attachment 2478737
Nimekusoma mkuuMbishi waga ana shida zake tu binafsi mkuu, pride huwa inamzidi, Mbishi ndie naweza kusema msanii ambae yupo obsessed na kwenda mainstream kuliko msanii yoyote yule tangu yupo Tamaduni hadi kikosi kazi
Kuna wasanii wengine wao wameridhika na sehemu walipo na huwezi kuskia wanapiga kelele kama za Mbishi, mwangalie One,Songa
Alafu kuna hawa P mawenge,Sterio hawa wapo kote kote, wanafight kuingia mainstream at the same hawaichukii underground stream kwahiyo wao hawana stress ambazo anazo nick
Kinachomponza nick ni "kujijua kama anajua" hii kitu inataka kumfanya aamini kuna baadhi ya wasanii wanapata ambacho hawastahili kukipata kwa sababu tu amewazidi uwezo kwenye vitu vingi
Sasa tukija kwenye issue ya Dizasta vina, yeye kwake ni tofauti sana, HATAKI kwenda mainstream either iwe kwa bahati mbaya au makusudi ndomana huwezi kuskia anakuwa na bifu na wasanii waliopo mainstream, hatqki kwa sababu itamnyima Uhuru alionao katika kuandika
Huwezi ukawa Mainstream alafu ukaimba wimbo kama KANISA itakuwa ni suicide katika career yako huwezi ukawa Mainstream ukaandika wimbo kama "A CONFESSION OF MAD PHILOSOPHER" ukiwa mainstream ni ngumu kuandika wimbo kama "SHAHIDI" huwezi kuandika "KIFO"
Skiliza album kama Super Nyota alafu skiliza The verteller ndio utaona tofauti ilipo, sio kwamba Young killer hawezi kufanya anachofanya Dizasta vina, hapana bali Hana hizo Gut's, sasa hicho ndio Dizasta hataki kukipoteza pindi atakapokuwa mainstream Kwa sababu mainstream wana code zao
Dizasta vina hawezi kuandika eti "Napotokea hakuna alietoboa labda alietoboa maskio" ili tu watu wafurahi na apate viewer's wengi au streaming za kutosha ila hao watu wasijifunze chochote kupitia uandishi wake
Nimekusoma mkuu
Nick mbishi akubali kuwa soft kama anaona wengine wanafaidi au awe pure mwanaharakati kama Roma ambaye yupo mainstream lakini akituliza kichwa huwa anakuja na bombs
Kingine huyu dizasta vina na Tamaduni kwa ujumla , hawana excuse kwa nini hawana popularity maana kuna digital platforms sasa itakuwa bora watumie hizo big brains wanaojiona wanazo.. Kuuza muziki wako