Dizasta Vina a.k.a Maradona

Umeanza upuuzi upuuzi ung'aeng'ae, ngoma zenyewe ni kuchi kuchi nai nai.
Mtaani umekuja juzi juzi makuzi unadhania mimi ni mpuuzi mpuuzi Qum*m@e


Tumsubiri rapcha kama atajibu [emoji3][emoji3]

Sent from my CPH1989 using JamiiForums mobile app

Hawezi kujibu maana kapewa dis na maarifa at the same time…na maelekezo juu[emoji23][emoji23]

This is a kill shot

Ukitoa diss ya p-the emcee kwa nikki mbishi
Ya Dizasta imeua sana kwa upande wangu.!

Kwa mbele hii ni kama dis ya

J.Cole kwa lil pump

Slim shady kwa MGK -the killshot [emoji91]
 
Umeanza upuuzi upuuzi ung'aeng'ae, ngoma zenyewe ni kuchi kuchi nai nai.
Mtaani umekuja juzi juzi makuzi unadhania mimi ni mpuuzi mpuuzi Qum*m@e


Tumsubiri rapcha kama atajibu [emoji3][emoji3]

Sent from my CPH1989 using JamiiForums mobile app
Kwani Rapcha alimchokozea nini Dizasta?

Mbona kwenye verse kamtaja P kama mtu ambaye aliwahi kuzinguana na huyo mtu

Sasa P sioni kama aliwahi kuwa na noma na Rapcha labda Motra

Na kuna verse kasema listen G mi nikafikiria atakuwa G Nako

Kwasababu Rapcha aliwahi kutoa recognition kwa Dizasta pamoja na Tamaduni kiujumla kwenye kile kipindi cha diss tracks za Weusi na Kikosi Kazi

Sasa Rapcha kachagua kupambana na mtu mwenye silaha nyingi afu nzito kuliko uwezo wake, bora angemdiss Lunya lakini sio level za Dizasta.
 

Sijawahi kumwona jukwaani aki perfome zaidi ya dakk 10 za maangamizi ambayo nayo aliua vibayo mnoo..

Kwa nature ya ngoma zake,ni ngumu sana kuzi perfom kwa just ordinary people unless mashabiki tunaomfatilia

Lakini naomba kene list yako toa Zaiid weka Stereo singasinga The african son kibabu cha kortini
 

10days ago Rapcha ameachia diss track kwa babu tale humo ndani akampitia na young lunya na Dizasta

Nenda youtube kasikize ngoma inaitwa freestyle

Kosa la Dizasta ni ku like tweet inayomdis Rapcha

Ndo maana Dizasta kene ngoma anamwambia

“Be careful What you say next, bloody fool
Inanishangaza sana

You had all the means to check me ukachagua wimbo ‘cause unataka drama

Nishadiss hadi kanisa langu ms**ge haukumbuki
Unataka niue mende kwa bunduki”
 
Panorama taifa langu,nimeketi soja, verse moja nashusha flow za aina tatu..[emoji109]
 
Haja mdiss kampa taharifa tu kama anataka bifu aanze.

Sent from my CPH1989 using JamiiForums mobile app
 
Nyimbo za wavuta bangi
 
P sio wa kumuingia kichwa kichwa anakupoteza na nikki haji rudia laabda ajitoe ufahamu tu, ila dizasta kasema ile sio dis anatoa taharifa tu kua dogo aache upuuzi kama alimkosea angemfwata amueleze sio kumuongelea kwenye ngoma.

Sent from my CPH1989 using JamiiForums mobile app
 
Rapcha alimaindi Dizasta ku like tweet iliyo mdisi ndio akamchana kwenye ngoma yake, dizasta kaona amjibu kua kama kweli alimaindi angemfwata amueleze kua hajafanya poa. Na kama anataka dis track ajibu.

Sent from my CPH1989 using JamiiForums mobile app
 
[emoji3][emoji3] sema mwamba kapinda, ujue mi nilijua mpagani tu kumbe alikua anasali akaamua awadiss kwenye ile ngoma yake (kanisa).

Sent from my CPH1989 using JamiiForums mobile app
 
Nataka siku moja nione diss tracks kati ya P na Dizasta

Aisee itakuwa ni burudani sana

Weusi wangekuwa na contents walikuwa ni kundi lenye kuleta ushindani mkubwa sana kwa Kikosi Kazi.

Mi nilipenda sana ule msimu wa ma diss yani game linachangamka mizuka mingi mpaka unafurahi
 
P na Dizasta hapata kalika sema P anaweza mkalisha D kwenye flow zake huwa anazipangilia fresh na zina sound fresh. Lakini D atamficha P kwenye mpangilio wa lyrical/mashairi.

Sent from my CPH1989 using JamiiForums mobile app
 
Kwa weusi angalau G nako angekaza angejitahidi sema kina joh wamemuharibu.

Sent from my CPH1989 using JamiiForums mobile app
 
Labda nimefilisika kimawazo ila wasanii wa hip-hop wa kizazi hiki hua wahanikoshi kabisa coz ngoma nzima unakuta hakuna mistari ambayo inakuacha na tafakuri nzito tofauti na wale niliokua nawakubali zamani...
Mfano nikikiliza ngoma za Fid q jamaa Alikua anaandikia ngoma flani yenye misemo ambayo inakugusa kinyama.. we kasilikze tu Mwanza mwanza, ielewe mitaa, sumu, fid Q dot com Rudi Hadi Ni hayo tu au propaganda... Wasanii wa sikuhizi hawana ile mistari Ila Ni Visa vingi tu....
Mchukilie mtu Kama Langa jamaa walikua wanaandika Sana yaani anatoa neno linalobamba tz nzima mfano "matawi ya juu" au msikilize Langa kwenye ngoma ya HIP-HOP utampenda. Sikuhizi hip-hop imekua Kama taarabu...
Kiukweli hawanibambi...
Dizasta Ni msimuliaji mzuri lakini Kuna kitu anapungukiwa uandishi wake bado sana compare to malegend wa hip-hop...
Angalau kwenye ngoma ya kanisa alijitahidi
I'm so sorry Ni mtazamo wangu naomba uheshimiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…