Diwani wa mungaa/singida - CHADEMA afyeka ng'ombe miguu

Diwani wa mungaa/singida - CHADEMA afyeka ng'ombe miguu

Mda mwingine tunahitajika pia kuwapima akili hawa viongozi tunaotaka kuwachagua hata kabla ya uchaguzi, kwani wengine unaweza kuta ana historia ya ukichaa muda mrefu lakini kikaja kupoa.Ila pia mleta mada hajatuambia kwanini diwani huyo aliamua kufanya maamuzi hayo.
 
huyu ni kiongozi au ni muhuni fulani tu unaanzeje kukata kiumbe ambaye hata kuongea hawawezi.
 
kwa hiyo na Yule anaemaliza Tembo wetu asihusishwe na chama chake?.. nimeuliza tu....nisamehe kama nimekosea!![ Ndio asihusishwe na chama chake. Maana sera za chama sio ujangili wala mashambulio.

nashukuru kwa kunielewesha zaidi... manake humu JF watu wana dini zao za vyama na yakifanyika mazuri kila mmoja anasifia kuwa yamefanywa na chama lkn mabaya sio ya chama ni ya mtu binafsi amabaye ni mwanachama....lol
 
hii kesi siyo ya kumtetea ni vyema akafungwa ili iwe fundisho kwa wengine.

Usimhukumu bado mapema pia hauna haki ya kumuondolea eti asitetewe, kwa lipi zaidi alilofanya?. Umesahau kesi ya ugaidi ya kutengenezwa aliyobambikizwa Kamanda Lwakatare!. Hii nchi ina mambo, tunza masikio uje usikie. Utajuta kwanini uliandika hivyo ulivyoandika?
 
Tatizo ndani ya cdm hakuna demokrasia hawachagui viongozi wanapendekeza ktk kugombea nafasi utawezaje kupima tabia ya mtu kuiongiza jamii. Ndg zangu mh. Lissu anapaswa kuacha kutetea maovu haya,uanasheria wake usiwe wa kitetea wezi na magaidi km hawa ili aoneshe maadili ya uongozi. Sisi tumeshuhudia ni unyama umefanyika wananchi tuungane kukemea bila kujali itikadi.

Hivi yule Diwani kanda magharibi aliyeuwa watu wawili kwa kuwatesa na kuwafungia ndani kwa kisa cha kutofanya kazi shambani kwake HIVI ALIKUWA WA CHADEMA PIA AU!!!!!!!
 
mii ni CDM ila nasema huyu jamaa anyongwe! Yani ng'ombe anamkata mguu! kah!?

Mimi ni CCM, ila huyu Jamaa anayeua Tembo wetu ni Lazima azikwe Mzima Mzima aisee
 
Back
Top Bottom