Diwani wa Kivule unatuchanganya kuhusu barabara ya njia sita

Sep 5, 2014
16
2
Jamani huyu Nyansika mimic simwelewi anasema barabara ya njia sita toka Banana - Kitunda -Kivule hadi Chamanzi ipo lakini asemi tutalipwa lini na itaanza . Kamati na Mbunge wanasema mradi huo bado hautambuliwi na serikali na barua wanazo.
Huyu diwani ana nia gani au yeye kazi yake ni kutuchanganya tu. Vitu vingine havihitaji hata shule.
 
Hivi mzee hayo Nyansika unamzungumzia unajua shule yake. CCM wanampa uongozi hata kichaa
 
Back
Top Bottom