Diwani wa kata ya Ngokolo kupitia CHADEMA Manispaa ya Shinyanga, Emmanuel Ntobi amefukuzwa kwenye Baraza la Madiwani

MIMI BABA YENU

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
295
679
1084638

Diwani wa kata ya Ngokolo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Manispaa ya Shinyanga, Emmanuel Ntobi amefukuzwa kwenye Baraza la Madiwani na kutohudhuria vikao vitatu vya baraza hilo.

Pia diwani huyo atanyimwa stahiki zake zote kwa kipindi hicho alichosimamishwa kutokana na tuhuma za kuichafua manispaa hiyo kupitia mitandao ya kijamii.

Imedaiwa kuwa diwani huyo amekua akiichafua manispaa hiyo mara kwa mara kwenye mitandao kuwa inafanya ufujaji wa fedha kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo.
 
Aisee! Mpaka ujenzi wa viwanda ukamilike tutashuhudia mengi! Kwani hapo Shinyanga hawana CAG wao!?
 
Back
Top Bottom