calculator
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 279
- 137
Mgombea udiwan wa CHADEMA kata ya KimandoluHabari zilizothibitishwa na wafuatiliaji wa duru za siasa jijini Arusha zimebaini kuwa Ndg. Rayson E. Ngowi ambaye ni mgombea udiwan kata ya kimandolu, Arusha, kwa tiketi ya CHADEMA hayupo kwai daftar la wapiga kura kwa kata hyo. Ngowi mwenye kitambulisho namba 13214796 alijiandikisha mnamo tar 10 machi 2005, wilayani Rombo, mkoan Kilimanjaro.
Amepigiwa simu mara kadhaa kuthibitisha madai hayo ila hakutoa ushirikiano na amekuwa akitoa jibu moja tu "haikuhusu". Kazi kwenu wakazi wa kimandolu
CHADEMA Arusha wameanza kutoa mapovuChadema wameshaanza kuona dalili za kupoteza kiti cha ubunge hapa Arusha. Vilevile viti sita vya udiwani vilivyopo wazi vyote vinarudi CCM na hivi ninavyowaletea huu uzi, viongozi wao wanasigana tu wasijue wanajipangaje. Kwisha kazi yenu.
Tutasikia mengi sana wakati huu wa uchaguzi! Hata hivyo sikubaliani na wewe hasa kwakuwa ulekuja na personal attack! Kama unataka kugombea ungeplay smatter than this!
Mungi na DALLAI LAMA...
Naheshimu mawazo yenu. Mim sio mtia nia na wala sio gamba pia. ni mkazi wa kata hii na namjua vzr huyu diwani. msijitoe ufahamu.. tembeeni kuanzia kijenge chini mpk juu.. ulizeni wapiga kura khs huyu mtu.. ni aibu. anawashambulia watia nia wenzake kama vile yeye ana hati miliki ya udiwani. Hatoshi.. hatutampa kura.. tumeazimia.. tutawapima kwa vigezo mujarabu.
Wewe ni kada wa CCM, kwa kazi nzuri iliyotukuka ya Mch. Ngowi lazima ujutie kwanini upo CCM, heri ungekuwa CHADEMA ili usiumie maini...... Tuliwapiga kwenye uchaguzi mpaka Mwigulu akakosa njia, mara ya mwisho kabla matokeo hayajatangazwa tukasikia Mwigulu ameonekana KIA. Kata ya Kimandolu hata kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa hakuna hata mtaa moja ulioenda CCM, Mitaa yote CHADEMA walichukua, kazi nzuri ya Mch. Ngowi.
Post zinazodhihirisha wewe ni gamba hizi hapa na umemfuatilia Mch. Ngowi tokea 2013 kabla ya uchaguzi wa kata nne:
Mgombea udiwan wa CHADEMA kata ya Kimandolu
Hii hapa ya 2012:
CHADEMA Arusha wameanza kutoa mapovu
Post hizo hapo juu ni dhahiri upo Lumumba, na kwamba huna la kujutia kwakuwa kura yako hukumpigia Ngowi. Kengenyau wewe!
Inawezekana mkuu. Mimi ni mkazi wa kata ya Kimandolu.. mpk leo nimeskia kuna watia nia wanne ambao ni Ngowi, Jose Shio, Amani Ritoine na Erick Kitunga. Wafanye siasa safi wasichafuane tafadhali