Diwani wa kata ya Kimandolu ahamia CCM!

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
Huyu ni diwani wa tatu katika jimbo la Arusha mjini kuhamia CCM ndani ya mwaka huu.

Diwani wa chadema ,kata ya Kimandolu,Greyson Ngowi jana aliwaduwaza viongozi wa chadema Jiji la Arusha baada ya kutangaza kujiunga na ccm na kupokelewa na rais Magufuli,lakini kabla ya uamuzi huo aliambatana na Meya wa Arusha ,Calist Lazaro (chadema) na viongozi wengine wa chama hicho, kwenye gari moja kumsikiliza rais wakati akitunuku vyeo askari wa JWTZ.
27c2298892027a91b1b0105f98805cd9.jpg
 
hajaisaliti chadema bali amewasaliti wale waliompa udiwani yaani wananchi kwa kuamua kukaa pembeni au sijui kumuunga mkono Magu kwa kuachia udiwani. JPM mwenyewe amesema mara nyingi maendeleo hayana vyama angeweza kuwahudumia wananchi vizuri hata kama yuko TPP badala yake ameshawatia hasara wananchi wake hasara ya milioni 250 ya kurudia uchaguzi
 
Hii pesa ingewaza kuwapa million 10 bikundi 25 vya vijana na wanawake ili kuweza kujiendeleza.

Watanzania Tunakosa maendeleo kwa kukosa Maarifa.
 
Hayo maeneo hata wakirudia uchaguzi,ccm haishindi.Gambo anajitekenya na kucheka mwenyewe.
Amuulize Mwigulu "tatu bila", na mabomu juu,lakini haikuwasaidia
 
Magufuli nchi imemshinda ameamua kuingiza siasa jeshini! Hakika nchi wamekabidhiwa washamba
 
Diwani wa chadema ,kata ya Kimandolu,Greyson Ngowi jana aliwaduwaza viongozi wa chadema Jiji la Arusha baada ya kutangaza kujiunga na ccm na kupokelewa na rais Magufuli,lakini kabla ya uamuzi huo aliambatana na Meya wa Arusha ,Calist Lazaro (chadema) na viongozi wengine wa chama hicho, kwenye gari moja kumsikiliza rais wakati akitunuku vyeo askari wa JWTZ.
27c2298892027a91b1b0105f98805cd9.jpg
 
Ccm kwa Arusha wanajisumbua bure...
Ccm haitokaa ishinde uchaguzi Arusha!
Ikitokea lema akahamia ccm, halafu agombee hatapata hata kura nne!
Sasa hawa wanaohama halafu wanaambiwa wagombee kupitia ccm, wakigombea wataaibika sana!!
Watashindwa vibaya....
 
Back
Top Bottom