Diwani wa kata ya Kimandolu ahamia CCM!

Diwani wa kata ya Kimandolu ahamia CCM!

Ccm kwa Arusha wanajisumbua bure...
Ccm haitokaa ishinde uchaguzi Arusha!
Ikitokea lema akahamia ccm, halafu agombee hatapata hata kura nne!
Sasa hawa wanaohama halafu wanaambiwa wagombee kupitia ccm, wakigombea wataaibika sana!!
Watashindwa vibaya....
Bandubandu humaliza gogo.
 
Ccm kwa Arusha wanajisumbua bure...
Ccm haitokaa ishinde uchaguzi Arusha!
Ikitokea lema akahamia ccm, halafu agombee hatapata hata kura nne!
Sasa hawa wanaohama halafu wanaambiwa wagombee kupitia ccm, wakigombea wataaibika sana!!
Watashindwa vibaya....
What s ur problem..wait n see na arusha km watawapa chadema cdhani wanafikiri sawa sawa, toka Lema amerud kuwa mbunge ktu gn amefanya arusha..orodhesha
 
Huijui arusha, rangi ya kijani ilishafutika!
Asimamishwe mtu kwa tiketi ya ccm na mbuzi kwa tiketi ya cdm, mbuzi ataibuka kidedea!
Maccm mnajipa matumain tu kuwa mtaweza kushinda Arusha, hilo mlifute kwenye akili zenu...
Mtabisha tu kwa sababu ya ubozozo wenu na jinsi ulivyo zwazwa...
 
..hili wamelinunua kama bidhaa huko ccm....aibu sana....likirudia kugombea halitopata kitu...wanajidanganya sana ccm maana hila hii haitafanikiwa....watu makini tayari wameona huyu mnafiki hafai kuwa kiongozi....
 
What s ur problem..wait n see na arusha km watawapa chadema cdhani wanafikiri sawa sawa, toka Lema amerud kuwa mbunge ktu gn amefanya arusha..orodhesha

Eti orodhesha huu ni ujinga wa kuuliza swali la kijinga kama hilo kwa muda ambao ccm imetwala leo kungekuwa hakuna story za kuomba walau maji safi na salama kila siku matatizo ni yale yale halafu mtu wa maika 10 unataka kumlinganisha na wa 50 zimo kweli wewe?
 
Rangi ya kijani arusha imebaki kwenye mboga mboga, miti Na migomba tu!
Ccm kwa arusha Ni chama cha upinzani!

Usicheze Na machalii wa chuga jombaaa
 
What s ur problem..wait n see na arusha km watawapa chadema cdhani wanafikiri sawa sawa, toka Lema amerud kuwa mbunge ktu gn amefanya arusha..orodhesha
Unataka tuorodheshe?

Mimi kubwa ambalo lilinifurahisha ni lile la kuvuna zivuma kwa mamako!!
 
Diwani wa chadema ,kata ya Kimandolu,Greyson Ngowi jana aliwaduwaza viongozi wa chadema Jiji la Arusha baada ya kutangaza kujiunga na ccm na kupokelewa na rais Magufuli,lakini kabla ya uamuzi huo aliambatana na Meya wa Arusha ,Calist Lazaro (chadema) na viongozi wengine wa chama hicho, kwenye gari moja kumsikiliza rais wakati akitunuku vyeo askari wa JWTZ.
27c2298892027a91b1b0105f98805cd9.jpg
Siku hizi JWTZ nao wanafanya Siasa...? 😀
 
Ccm kwa Arusha wanajisumbua bure...
Ccm haitokaa ishinde uchaguzi Arusha!
Ikitokea lema akahamia ccm, halafu agombee hatapata hata kura nne!
Sasa hawa wanaohama halafu wanaambiwa wagombee kupitia ccm, wakigombea wataaibika sana!!
Watashindwa vibaya....
Hata wakishindwa, tayari aibu nyingi zito kwenu kuwa, hata viongozi wenu ni wanafiki na wabinafsi tu. Kama mnajidai Arusha ndo ngome yenu, hamuoni aibu viongozi wengi wakubwa wa level ya udiwani wakiwaacha eti kwa sababu wamehongwa? Na wewe ukihongwa hauko tayari kuishangilia CCM?
 
Unanunua watu hununui Chama, kuleni hizo ni pesa zenu
 
siasa za bongo zimejaa maigizo sio kwa ccm wala ukawa
ndio maana siku hizi sijisumbui kupiga kura
 
What s ur problem..wait n see na arusha km watawapa chadema cdhani wanafikiri sawa sawa, toka Lema amerud kuwa mbunge ktu gn amefanya arusha..orodhesha
Barabara nyingi za mji zimejengwa. Maeeo ya pembezoni ambako hakukuwa na barabara zinachongwa. Unataka ajenge magorofa? Wilaya ninakotokea mbunge ni wa CCM sijaona chochote alichofanya. Na wengi hapa wenye majimbo ya CCM wanaweza kutujuza hapa.
 
Kampeni za watu wa NOAH zona tisha. Wameru ni watu wanaopenda maendeleo. Wamashaona, kilicho wapeleka CHADEMA ni mkumbo wa Lowassa wakidhani ikulu ingekwenda kwake. Wameru ni watu wanaopenda sana kukaa Na mangii. Wanaopenda maendeleo kama Wachagga. Nadhani ni wachagga passy. Ukiwasikiliza wakati wakiongra Na PM watu wa NOAH ndipo utagundua hayo
 
Diwani wa chadema ,kata ya Kimandolu,Greyson Ngowi jana aliwaduwaza viongozi wa chadema Jiji la Arusha baada ya kutangaza kujiunga na ccm na kupokelewa na rais Magufuli,lakini kabla ya uamuzi huo aliambatana na Meya wa Arusha ,Calist Lazaro (chadema) na viongozi wengine wa chama hicho, kwenye gari moja kumsikiliza rais wakati akitunuku vyeo askari wa JWTZ.
27c2298892027a91b1b0105f98805cd9.jpg
Halafu ni Mchungaji huyu ndugu!!!!!!
 
Barabara nyingi za mji zimejengwa. Maeeo ya pembezoni ambako hakukuwa na barabara zinachongwa. Unataka ajenge magorofa? Wilaya ninakotokea mbunge ni wa CCM sijaona chochote alichofanya. Na wengi hapa wenye majimbo ya CCM wanaweza kutujuza hapa.
Arusha haijui achana nae!
 
Back
Top Bottom