Diwani wa kata ya Kimandolu ahamia CCM!

Diwani wa kata ya Kimandolu ahamia CCM!

Ccm also need be careful na knowledge and skills za Cdm kwani the later is skillful enough too to plant puppets in Ccm.
 
Ccm baada ya miaka hamsini ya uhuru,wanakuja na style ya kuhonga madiwani wa upinzani,huku maisha yakizidi kuwa magumu siku hadi siku.
Shame on you
 
Alichofanya Ngowi ni aibu kwake binafsi ni sawa na kujivua suti na kutembea uchi barabarani; hata familia yake tayari imejua hawana baba mwenye msimamo bali kigeugeu ambaye kufumba na kufumbua anaweza kuisaliti familia kwa sababu ya hela ndogo kama. Hakujua cheo ni dhamana yeye alijua cheo tena cha kupewa na wananchi ni fedha.
 
Amejitia doa lisilofutika kwa JIK na ameharibu kabisa historia ya maisha yake kwa kufanya irreversible mistake litakalo m haunt na kumtafuna taratibu maisha yake yote yaliyobaki ;kama ni chemistry tungesema ni wrong chemical change.

Na mimi nimweleze wazi kuwa guilt atakayokuwa nayo maisha yake yote itamgharimu zaidi kuliko hela aliyopokea. atatumia gharama kubwa sana ku- offset guilt ndipo atakapogundua hela haiwezi kukupa amani ila hili ataling'amua ikiwa TOO LATE.
 
kwa Arusha ccm inajisumbua atakayependekezwa na Nyerere wa Arusha Mr Lema lazima atashinda tena kwa kishindo maana wananchi wa Arusha wana hasira sana watapata hata pa kujituliza kidogo kwa kupiga kura za hasira
 
Back
Top Bottom