Diwani Wa Chadema kata ya Tabata adaiwa kuwachangisha wananchi 20,000 ili kuzuia nyumba zao zisibomolewe

Wadau
Diwani wa CHADEMA Kata ya Tabata anaeenda kwa jina la Patrick Asenga anatuhumiwa kuwachukulia wakazi wa Kata hiyo Fedha Tshs 20,000 kila mmoja ili awasaidie kuzuia nyumba zao zisibomolewe na Serikali. Wananchi hao Inadaiwa wanaishi maeneo jirani na Bonde la Msimbazi.
Hata hivyo wakazi hao kwa bahati mbaya sana Nyumba zao hizo ZIlizolewa na Mafuriko hivyo kupoteza Fedha pamoja na nyumba zao.
Bado tunafuatilia ili kupata uthibitisho wa habari hizi Kama ni za kweli au uongo.
Karibuni
Kama huna uhakika, hakukuwa na ulazima wa kupost.
 
Wadau
Diwani wa CHADEMA Kata ya Tabata anaeenda kwa jina la Patrick Asenga anatuhumiwa kuwachukulia wakazi wa Kata hiyo Fedha Tshs 20,000 kila mmoja ili awasaidie kuzuia nyumba zao zisibomolewe na Serikali. Wananchi hao Inadaiwa wanaishi maeneo jirani na Bonde la Msimbazi.
Hata hivyo wakazi hao kwa bahati mbaya sana Nyumba zao hizo ZIlizolewa na Mafuriko hivyo kupoteza Fedha pamoja na nyumba zao.
Bado tunafuatilia ili kupata uthibitisho wa habari hizi Kama ni za kweli au uongo.
Karibuni
Siku ukiacha kuwashwa mzuti utakua umeshakua mama wa familia
 
Back
Top Bottom