Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,606
- 1,956
Sasa kwanini usingefuatilia ukajua lipi ni sahihi ndiyo utuletee hapa?Wadau
Diwani wa CHADEMA Kata ya Tabata anaeenda kwa jina la Patrick Asenga anatuhumiwa kuwachukulia wakazi wa Kata hiyo Fedha Tshs 20,000 kila mmoja ili awasaidie kuzuia nyumba zao zisibomolewe na Serikali. Wananchi hao Inadaiwa wanaishi maeneo jirani na Bonde la Msimbazi.
Hata hivyo wakazi hao kwa bahati mbaya sana Nyumba zao hizo ZIlizolewa na Mafuriko hivyo kupoteza Fedha pamoja na nyumba zao.
Bado tunafuatilia ili kupata uthibitisho wa habari hizi Kama ni za kweli au uongo.
Karibuni
Mimi mbona naishi tabata hii taarifa mbona naisikia kutoka kwakoooWadau
Diwani wa CHADEMA Kata ya Tabata anaeenda kwa jina la Patrick Asenga anatuhumiwa kuwachukulia wakazi wa Kata hiyo Fedha Tshs 20,000 kila mmoja ili awasaidie kuzuia nyumba zao zisibomolewe na Serikali. Wananchi hao Inadaiwa wanaishi maeneo jirani na Bonde la Msimbazi.
Hata hivyo wakazi hao kwa bahati mbaya sana Nyumba zao hizo ZIlizolewa na Mafuriko hivyo kupoteza Fedha pamoja na nyumba zao.
Bado tunafuatilia ili kupata uthibitisho wa habari hizi Kama ni za kweli au uongo.
Karibuni
Sasa weee unasema ana kashfa nzito kumbe ni kitu ambacho bado ushahidi haujatimia sasa hapk habari kamili ni ipiWadau
Diwani wa CHADEMA Kata ya Tabata anaeenda kwa jina la Patrick Asenga anatuhumiwa kuwachukulia wakazi wa Kata hiyo Fedha Tshs 20,000 kila mmoja ili awasaidie kuzuia nyumba zao zisibomolewe na Serikali. Wananchi hao Inadaiwa wanaishi maeneo jirani na Bonde la Msimbazi.
Hata hivyo wakazi hao kwa bahati mbaya sana Nyumba zao hizo ZIlizolewa na Mafuriko hivyo kupoteza Fedha pamoja na nyumba zao.
Bado tunafuatilia ili kupata uthibitisho wa habari hizi Kama ni za kweli au uongo.
Karibuni
Siasa majitakaWadau

Shameless woman.Utakua mentally retarded personWadau
Diwani wa CHADEMA Kata ya Tabata anaeenda kwa jina la Patrick Asenga anatuhumiwa kuwachukulia wakazi wa Kata hiyo Fedha Tshs 20,000 kila mmoja ili awasaidie kuzuia nyumba zao zisibomolewe na Serikali. Wananchi hao Inadaiwa wanaishi maeneo jirani na Bonde la Msimbazi.
Hata hivyo wakazi hao kwa bahati mbaya sana Nyumba zao hizo ZIlizolewa na Mafuriko hivyo kupoteza Fedha pamoja na nyumba zao.
Bado tunafuatilia ili kupata uthibitisho wa habari hizi Kama ni za kweli au uongo.
Karibuni
Tuonyeshe matumizi 1.5 trilioni, acha kuficha kichwa, while kiwiliwili kinaonekanaMachadema majizi sana
Uso wako hauoni haya kusema uongo?! Mnafiki wee!!!Wadau
Diwani wa CHADEMA Kata ya Tabata anaeenda kwa jina la Patrick Asenga anatuhumiwa kuwachukulia wakazi wa Kata hiyo Fedha Tshs 20,000 kila mmoja ili awasaidie kuzuia nyumba zao zisibomolewe na Serikali. Wananchi hao Inadaiwa wanaishi maeneo jirani na Bonde la Msimbazi.
Hata hivyo wakazi hao kwa bahati mbaya sana Nyumba zao hizo ZIlizolewa na Mafuriko hivyo kupoteza Fedha pamoja na nyumba zao.
Bado tunafuatilia ili kupata uthibitisho wa habari hizi Kama ni za kweli au uongo.
Karibuni
Trilioni 1.5 wapi?Machadema majizi sana