Diwani Wa Chadema kata ya Tabata adaiwa kuwachangisha wananchi 20,000 ili kuzuia nyumba zao zisibomolewe

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Wadau
Diwani wa CHADEMA Kata ya Tabata anaeenda kwa jina la Patrick Asenga anatuhumiwa kuwachukulia wakazi wa Kata hiyo Fedha Tshs 20,000 kila mmoja ili awasaidie kuzuia nyumba zao zisibomolewe na Serikali. Wananchi hao Inadaiwa wanaishi maeneo jirani na Bonde la Msimbazi.
Hata hivyo wakazi hao kwa bahati mbaya sana Nyumba zao hizo ZIlizolewa na Mafuriko hivyo kupoteza Fedha pamoja na nyumba zao.
Bado tunafuatilia ili kupata uthibitisho wa habari hizi Kama ni za kweli au uongo.
Karibuni
 
Sasa kwanini usingefuatilia ukajua lipi ni sahihi ndiyo utuletee hapa?
 
Wadau
Diwani wa CHADEMA Kata ya Tabata anaeenda kwa jina la Patrick Asenga anatuhumiwa kuwachukulia wakazi wa Kata hiyo Fedha Tshs 20,000 kila mmoja ili awasaidie kuzuia nyumba zao zisibomolewe na Serikali. Wananchi hao Inadaiwa wanaishi maeneo jirani na Bonde la Msimbazi.
Hata hivyo wakazi hao kwa bahati mbaya sana Nyumba zao hizo ZIlizolewa na Mafuriko hivyo kupoteza Fedha pamoja na nyumba zao.
Bado tunafuatilia ili kupata uthibitisho wa habari hizi Kama ni za kweli au uongo.
Karibuni
Mimi mbona naishi tabata hii taarifa mbona naisikia kutoka kwakooo
 
HIzi Siasa Za Kuchafuana Hazimsaidii M-Tanzania. Hao Wananchi Ni Wajinga Kiasi Gani? Wakati Diwani Wa Chadema Anakusanya Pesa Mbunge Wa CCM alikuwa Wapi Asizuie Huo Utapeli?.....
 
Wadau
Diwani wa CHADEMA Kata ya Tabata anaeenda kwa jina la Patrick Asenga anatuhumiwa kuwachukulia wakazi wa Kata hiyo Fedha Tshs 20,000 kila mmoja ili awasaidie kuzuia nyumba zao zisibomolewe na Serikali. Wananchi hao Inadaiwa wanaishi maeneo jirani na Bonde la Msimbazi.
Hata hivyo wakazi hao kwa bahati mbaya sana Nyumba zao hizo ZIlizolewa na Mafuriko hivyo kupoteza Fedha pamoja na nyumba zao.
Bado tunafuatilia ili kupata uthibitisho wa habari hizi Kama ni za kweli au uongo.
Karibuni
Sasa weee unasema ana kashfa nzito kumbe ni kitu ambacho bado ushahidi haujatimia sasa hapk habari kamili ni ipi
 
Siasa maji
Wadau
Diwani wa CHADEMA Kata ya Tabata anaeenda kwa jina la Patrick Asenga anatuhumiwa kuwachukulia wakazi wa Kata hiyo Fedha Tshs 20,000 kila mmoja ili awasaidie kuzuia nyumba zao zisibomolewe na Serikali. Wananchi hao Inadaiwa wanaishi maeneo jirani na Bonde la Msimbazi.
Hata hivyo wakazi hao kwa bahati mbaya sana Nyumba zao hizo ZIlizolewa na Mafuriko hivyo kupoteza Fedha pamoja na nyumba zao.
Bado tunafuatilia ili kupata uthibitisho wa habari hizi Kama ni za kweli au uongo.
Karibuni
Siasa majitaka
 
Uzi wa kufikirika.
Mods please ondoeni huu Uzi mpk mleta mada akileta vidhibitisho
 
Hapo ni lazima huyo diwani alichangisha hizo pesa kwa shilikiana na wananchi. ili kumtafuta wakili ambaye ataenda kuwasaidia mahakani ili wananchi wapate haki zao za msingi.
 
Wadau
Diwani wa CHADEMA Kata ya Tabata anaeenda kwa jina la Patrick Asenga anatuhumiwa kuwachukulia wakazi wa Kata hiyo Fedha Tshs 20,000 kila mmoja ili awasaidie kuzuia nyumba zao zisibomolewe na Serikali. Wananchi hao Inadaiwa wanaishi maeneo jirani na Bonde la Msimbazi.
Hata hivyo wakazi hao kwa bahati mbaya sana Nyumba zao hizo ZIlizolewa na Mafuriko hivyo kupoteza Fedha pamoja na nyumba zao.
Bado tunafuatilia ili kupata uthibitisho wa habari hizi Kama ni za kweli au uongo.
Karibuni
Shameless woman.Utakua mentally retarded person
 
Uso wako hauoni haya kusema uongo?! Mnafiki wee!!!
 
Mimi nina kaswali kadogo ambako kapo nje ya mada hii. Kaswali hako ni kwamba, kwa nini SULTANI wa BANDAVICHAA anakuwa na MVI kwenye ndevu tu na wala siyo kichwani?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom