Diwani wa CCM, wanachama 100 wajiunga CUF

Diwani wa CCM, wanachama 100 wajiunga CUF

Na hayo ndo yanawafanya watu wazidi kukosa imani na ccm eti mtu mdogo wakati anaongoza watu kibao
 
Huyo nu mtu mdogo sana kwenye siasa za Tanzania, ni sawa na punje ya mchele ndani ya ccm. Ccm haiwezi kuanguka kisa wapuuzi wachache.
Mwisho wako lini kumpa mama yako pesa hata ya mswakia? Nyang'au wewe.

Swissme
 
Itafika mda hata mwenyekiti wa CCM taifa atakihama hicho chama! Kuna tetesi kuwa Kinana yu mbioni kutimka mda wowote!
 
Huyo nu mtu mdogo sana kwenye siasa za Tanzania, ni sawa na punje ya mchele ndani ya ccm. Ccm haiwezi kuanguka kisa wapuuzi wachache.

hivi unatumia akili ww. Huwezi kupata bilion kama umepoteza shilingi 1, yaaani ww unadharau watu 100 na diwani? Kweli ww akili ndogo.
 
Huyo nu mtu mdogo sana kwenye siasa za Tanzania, ni sawa na punje ya mchele ndani ya ccm. Ccm haiwezi kuanguka kisa wapuuzi wachache.

Ile idadi ya wanachama wenu milioni 5 huyo (diwani 1 + wanachama >100) hawakuhesabiwa?

CCM kwa kuji-brother-sugarcane, hamjambo!

Mmeshikwa na butwaa hamuamini kinachotokea!

Kiukweli huku mikoani ujasiri wa wana ccm umepungua sana, hawajiamini kama zamani!
 
Kaondoka lipumba na mkewe wameingia 100 wapya.Bonge la faida.
 
Ila si tumeambiwa kanda ya ziwa hawaami ccm sababu ya makomeo?
 
Safiii sana watz wameamka hawadanganyiki tena kwa chumvi, t-shirt na kofia. Hongera UKAWA. Kazi itahitimishwa Oct. 25
 
Ila si tumeambiwa kanda ya ziwa hawaami ccm sababu ya makomeo?

Huyo makomeo hakubaliki hadi kwao chato, hata nduguze ktk familia hawamtaki pia anawaburuza kama mungu wao anawatukana kama watumwa wake. Wavuvi wa kanda ya ziwa walitegemea angewasaidia kupata zana za uvuvi alipokuwa waziri wa vitoweo badala yake akaenda kuwakamata na kuwachomea nyavu zao. Hadi leo wengne walipoteza mitaji. Subiri siku Eddo akitua Mwanza, Geita na Chato utaona mafuriko.
 
Ama kweli CCM kifo kii mlangoni na hakuna wa kuzuia wapinzania kuchukua nchi mwaka huu. Kila mahali ni mafuriko tu, na CCM inazidi kuzama kaburini. Hii ni historia inaenda kutokea Tanzania na maono ya mwalimu Nyerere ya watu kutafuta mabadiliko nje ya CCM yanatimia. Ni ajabu. Lipumba kaondoka kwa kununuliwa lakini ndio kwaaanza watu wamemdharau na haoooooo wameikimbia CCM na kwenda kwenye ukombozi wa kweli.

HALI ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza si shwali baada ya aliyekuwa Diwani wa Kata ya Mkuyuni, Charles Lugo (Fashion), na wanachama zaidi ya 100 kujiunga na Chama cha Wananchi (CUF).

Tukio hilo linakuja ikiwa ni mwendelezo wa wimbi la wanachama wa CCM kuhamia upinzani hususani Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA.

Wamesema viongozi wa CCM kuanzia ngazi ya chini hadi Taifa, wamekuwa wakitumia rushwa kushika madaraka na kusababisha watu ambao ni wazalendo wenye nia dhabiti ya kuwatumikia wananchi kukosa haki hiyo.
Wanachama hao wakiongozwa na diwani huyo, walipokelewa leo na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CUF, Karume Jeremiah, wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la Chakechake, Nyamagana.
Akizungumzia tamko la wao kujiengua CCM na kujiunga CUF, Fashion amesema wamefikia hatua hiyo kutokana na kuchoshwa na vitendo alivyodai vya rushwa kwenye uchaguzi, uonevu na hila na kukosekana kwa demokrasia.
 
Hata kikwete anatamani ila hana uwezo wa kuasi
 
Dah Hii sasa hakuna namna mi nasema huu ni mwanzo mzuri tunasubiria tuone wanaokwenda kwa magaidi aka mkaidi kulee N L D
 
Huyo nu mtu mdogo sana kwenye siasa za Tanzania, ni sawa na punje ya mchele ndani ya ccm. Ccm haiwezi kuanguka kisa wapuuzi wachache.

Hata Ghadaf mpaka anauwawa aliamini kuwa yeye ni strong
 
Huyo nu mtu mdogo sana kwenye siasa za Tanzania, ni sawa na punje ya mchele ndani ya ccm. Ccm haiwezi kuanguka kisa wapuuzi wachache.

Wewe sio mwanasiasa. Uchaguzi ni hesabu. Kama hesabu inapungua na untumia lugha kama hiyo, bila shaka utashangaa kura zenu zisipotimia
 
Back
Top Bottom