Diwani wa CCM, wanachama 100 wajiunga CUF

Diwani wa CCM, wanachama 100 wajiunga CUF

Sina shaka kwenye ndoa yako utakuwa na mawazo kama haya🙁😀

Angalia usipaliwe rafike🙁😀🙁😀
 
vita ya kupokea watu waliokatwa ccm. hio vita au mnakula hasara.
 
Magufuli hoyeee,watake wasitake we ndio Rais ajeye.

Peleka ujinga huko Huna adabu gamba ww mwaka huu mnalo na limeng'ang'ania kwel kwel hamchomoi haki ya nan nawaambia mnawaza kuiba tuu
 
... bomoabomoa kama ya Dr. Padlocks
 
Huyo nu mtu mdogo sana kwenye siasa za Tanzania, ni sawa na punje ya mchele ndani ya ccm. Ccm haiwezi kuanguka kisa wapuuzi wachache.

Hao hao wapuuz ndio walioiangusha KANU Moi alisema maneno hayo hayo viongozi wa kaunty huko kisumu walipohama ila wakawa chache ya kna Ruto kuondoka na kna kbak leo KANU ni hstoria adi mtoto wa mpgania uhuru wa Kenya na Rais wa kwanza wa Kenya Mzee Kenyata kahama chama cha baba yake
 
Baada ya kukatwa? Huu uzandiki wa sizitaki mbichi hizi utawatokea puani
 
Huyo nu mtu mdogo sana kwenye siasa za Tanzania, ni sawa na punje ya mchele ndani ya ccm. Ccm haiwezi kuanguka kisa wapuuzi wachache.

jipe moyo kibaka..... Hauoni aibu kila mkoa wanachama wenu wanahama maana mnalazimisha magoli ya mkono?? Mtu hajapita kwenye kura za maoni kama Nape wa kujichubua nyie mnataka awe mgombea!! Wakati yeye sio mshindi! Uroho wa madaraka utawatokea puani mwaka huu
 
diallo-620x308.jpg






HALI ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza si shwali baada ya aliyekuwa Diwani wa Kata ya Mkuyuni, Charles Lugo (Fashion), na wanachama zaidi ya 100 kujiunga na Chama cha Wananchi (CUF). Anaandik Moses Mseti, Mwanza … (endelea).

Tukio hilo linakuja ikiwa ni mwendelezo wa wimbi la wanachama wa CCM kuhamia upinzani hususani Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA.
Diwani na wanachama hao kutoka matawi mbalimbali ya CCM, walieleza chanzo na sababu za kutimkia CUF, kuwa chama hicho kimetawaliwa na vitendo vya rushwa, chuki na undugu kitendo kinachosababisha kukosekana kwa demokrasia ya kweli.
Wamesema viongozi wa CCM kuanzia ngazi ya chini hadi Taifa, wamekuwa wakitumia rushwa kushika madaraka na kusababisha watu ambao ni wazalendo wenye nia dhabiti ya kuwatumikia wananchi kukosa haki hiyo.
Wanachama hao wakiongozwa na diwani huyo, walipokelewa leo na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CUF, Karume Jeremiah, wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la Chakechake, Nyamagana.
Akizungumzia tamko la wao kujiengua CCM na kujiunga CUF, Fashion amesema wamefikia hatua hiyo kutokana na kuchoshwa na vitendo alivyodai vya rushwa kwenye uchaguzi, uonevu na hila na kukosekana kwa demokrasia.
“Tumetoka CCM kwa sababu ya wizi wa waziwazi katika uchaguzi, wanafunga magori ya mkono watu wakiwa wanaona, sasa tumekuja huku upinzani. Lazima tuwashughulikea mpaka waachane na wizi wao.
“Niliwania udiwani kwa mara nyingine tena, hila na tamaa ya CCM walinikata jina kwa sababu nilikuwa napingana nao, walipolazimisha fedha za miradi ya wananchi tuzitumie kwa mambo ya chama,” amesema Fashion.
Kwa upande wake, Jeremiah amesema kutokana na CCM kushindwa kuwatumikia wananchi ipasavyo, sasa umefika wakati wakaipisha UKAWA kuingia `magogoni` ili kutatua kero za watanzania.
mwanahalisi online

mwenye macho haambiwi tazama!...asiye na mwana aeleke jiwe..."

Tangu uhuru chama tawala ni CCM....rushwa...CCM....Uchumi tegemezi...CCM...ujinga...CCM...maradhi...CCM....umaskini....CCM....ubadhilifu na ufisadi woooote ni mazao ya utawala dhalimu wa chama cha mapinduzi...kila kitu wamepindua..elimu..kilimo...ardhi...masoko...viwanda...maadili...hakika october 25 mwaka huu ni wapumbavu pekeee watakubali kuzama... viva UKAWA viva..jembe lililojivua gamba na kuwa powertiller....Lowassa!!!....A Luta contonua.....
 
Huyo nu mtu mdogo sana kwenye siasa za Tanzania, ni sawa na punje ya mchele ndani ya ccm. Ccm haiwezi kuanguka kisa wapuuzi wachache.

Usifanye dharau badala yake tatizo lipatiwe ufumbuzi. Huyo unayesema mdogo ana kura zingine mia. Pengine mia mara kumi ni elfu nk nk.
 
Mmh hadi fashion kahama chama teh teh kweli meli inaelea na shilling inazama kbsa .......
ukawa ikulu ileeeeeee karibuni sana mh lowasa na ukawa wote
 
mimi najiuliza hivi LIPUMBA ANGEKUWEPO leo angewakataa hawa wanachama wapya kwa sababu tu wanatoka ccm?

Ujue hao jamaa wamepewa pesa waende cuf kwa lazima ila isionekanike kuwa watu wanaipenda cdm tu. Amka ujue
 
Huyo nu mtu mdogo sana kwenye siasa za Tanzania, ni sawa na punje ya mchele ndani ya ccm. Ccm haiwezi kuanguka kisa wapuuzi wachache.

Mlivyosema mna wanachama m. 6 yeye na hao hamkuwahesabu?
 
Huyo nu mtu mdogo sana kwenye siasa za Tanzania, ni sawa na punje ya mchele ndani ya ccm. Ccm haiwezi kuanguka kisa wapuuzi wachache.

kumbuka wapiga kura wanahishi na aoao wadogo, kapeni hupigwa na aoao wadogo
 
CCM wamebaki wangapi? Kila siku wanachama wanahama. Cha ajabu utasikia CCM wanatamba kuwa wameongezeka! wanachachua mpaka namba ya wanachama wao. Karibuni UKAWA tupate mabadiliko.

KUNA UZI UPO HAPA JUKWAANI UNAOSEMA KADI ZA VYOMBO VYA ULINZI ZINAKUSANYWA,Je UNAJUA ZINAFANYIWA NINI?
 
Back
Top Bottom