Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 7,813
- 10,834
Na huyo mkulu naye ni mpuuzi? Yaani hivyo tu mtu anapata ulaji?Anatafuta cheo pale kwa mkulu
Kulia lia hakukusaidii,na wewe nenda kampinge mahakamani
Wamachame kama yeye wako wengi sana leo, kitu ambacho hapa Machame tuna sumbuka nacho, labda wamemchoka Mbowe. Njoo huku kijijini Uswaa (Oswald) utashangaa sana. Tusiwe very general kwa kujiliwaza , huku Machame hata mvuto wa siasa umepungua sana. Kazi tunayo.Uyu ni mmachame gani? mmachame mpumbavu kiasi icho hakuna cha uchaguzi kusitishwa?
Ukisitishwa october nchi apewe jaji mkuu au mkuu wa majeshi ufala hatutaki jiwe ana hofu ya kuondolewa Ikulu
Hana akili hadi mwezi ujao corona itakuwa ishathibitiwa dunia nzima watu wako maabara 24 hrs wanatafuta ufumbuzi.Uchaguzi mwezi wa kumi,hio sio hoja,yeye kama alikopa na hana namna ya kuishi nje ya Siasa ili kulipa deni akaolewe tu imekula kwake,uchaguzi upo pale paleDiwani wa ccm Martin Munisi kutoka Kata ya Machame Wilayani Hai ,Mkoa wa Kilimanjaro amejipanga kukimbilia Mahakamani kufungua shauri Mahakama Kuu kanda ya Kilimanjaro kutaka ahirisho la uchaguzi mkuu ujao sababu ya presha ya Corona.
======
View attachment 1394783
Diwani wa Machame Martin Munisi amekusudia kuwasilisha kesi Mahakama kuu ya Tanzania Moshi kuitaka serikali kusitisha maandalizi ya uchaguzi mkuu mwaka huu na kuzuia mikusanyiko ya kampeni pesa hizo zielekezwe Wizara ya Afya ilikuendeleza kampeni ya kujikinga na COVID-19
Sent using Jamii Forums mobile app
Njaa ni mbaya sana!!Diwani wa ccm Martin Munisi kutoka Kata ya Machame Wilayani Hai ,Mkoa wa Kilimanjaro amejipanga kukimbilia Mahakamani kufungua shauri Mahakama Kuu kanda ya Kilimanjaro kutaka ahirisho la uchaguzi mkuu ujao sababu ya presha ya Corona.
======
View attachment 1394783
Diwani wa Machame Martin Munisi amekusudia kuwasilisha kesi Mahakama kuu ya Tanzania Moshi kuitaka serikali kusitisha maandalizi ya uchaguzi mkuu mwaka huu na kuzuia mikusanyiko ya kampeni pesa hizo zielekezwe Wizara ya Afya ilikuendeleza kampeni ya kujikinga na COVID-19
Sent using Jamii Forums mobile app