Uchaguzi 2020 Diwani wa CCM Martini Munisi, akimbilia Mahakamani kupinga Uchaguzi Mkuu ujao

Hujui kitu na leo nimeamini wewe ni ccm maandazi , wenzako wanapanga hata kuahirisha bunge wewe unawashangaaa !!
Ni kweli CCM wanaiogopa Corona lakini sio hawa wapiga dili.
Na kwa bahati mbaya tulivo misukule, wale walioiuzia CCM kiti 2015 ndo tumewapa uwenyekiti na Umakamu.
Halafu tunajiliwaza eti Jiwe anatuogopa.
NONE SENSE!
 
Muulize jiwe kisa cha kuzuia siasa miezi 6 kabla ya uchaguzi
 
Hivi anapataje hofu wakati anatu hubiria kuwa anapendwa sana na wananchi wanyonge?
Uyu ni mmachame gani? mmachame mpumbavu kiasi icho hakuna cha uchaguzi kusitishwa?

Ukisitishwa october nchi apewe jaji mkuu au mkuu wa majeshi ufala hatutaki jiwe ana hofu ya kuondolewa Ikulu

In God we Trust
 
Demokrasia kwako ni ccm lazima ibakie madarakani?
Hiyo ndiyo demokrasi mkuu cha kushangaza mna advocate demokrasi lakini hamuwezi kuitekeleza demokrasi yenyewe!!

In God we Trust
 
Akili zako naona ashaingia corona
Ni kweli CCM wanaiogopa Corona lakini sio hawa wapiga dili.
Na kwa bahati mbaya tulivo misukule, wale walioiuzia CCM kiti 2015 ndo tumewapa uwenyekiti na Umakamu.
Halafu tunajiliwaza eti Jiwe anatuogopa.
NONE SENSE!

In God we Trust
 
Diwani wa ccm Martin Munisi kutoka Kata ya Machame Wilayani Hai ,Mkoa wa Kilimanjaro amejipanga kukimbilia Mahakamani kufungua shauri Mahakama Kuu kanda ya Kilimanjaro kutaka ahirisho la uchaguzi mkuu ujao sababu ya presha ya Corona.

======

View attachment 1394783
Diwani wa Machame Martin Munisi amekusudia kuwasilisha kesi Mahakama kuu ya Tanzania Moshi kuitaka serikali kusitisha maandalizi ya uchaguzi mkuu mwaka huu na kuzuia mikusanyiko ya kampeni pesa hizo zielekezwe Wizara ya Afya ilikuendeleza kampeni ya kujikinga na COVID-19

Sent using Jamii Forums mobile app
Obviously katumwa
 
Hata mkiahirisha uchaguzi, hautapatikana muda wa kuujenga uchumi, hamkutaka kufuata aina ya uchumi unao inua kipato cha mtu mmoja mmoja yaani ''welfare economy' running a government is not like family matters
 
Back
Top Bottom