Diwani wa CCM Arusha, Paul Mathyssen Ajiunga CHADEMA

Diwani wa CCM Arusha, Paul Mathyssen Ajiunga CHADEMA

Mtu amekimbia kura za maoni harafu mnampokea kama shujaa😱:sly: kweli CHADEMA mmevurugwa.

Inawezekana kabisa amekimbia kukatwa, na kwa msimamo wake wa kukataa rushwa na ubadhirifu ambazo ni ilani ya CCM uwezekano wa kukatwa ni mkubwa, na kwa nini asipongezwe kwa kukataa hayo?
 
Nawasiwasi kila anaehamia chadema from ccm anataka agombee chadema kama ana niasafi

Usiwe na wasiwasi, kama wanakuja kuhujumu watafukuzwa uanachama na kufukuzwa udiwani, tukirudi kwenye uchaguzi tunaweka wengine na tunashinda, kumbuka wale wanne waliotaka kuleta upuuzi, mpaka leo wanajuta wamepotea kabisa ktk siasa hapa Arusha,
 
Inawezekana kabisa amekimbia kukatwa, na kwa msimamo wake wa kukataa rushwa na ubadhirifu ambazo ni ilani ya CCM uwezekano wa kukatwa ni mkubwa, na kwa nini asipongezwe kwa kukataa hayo?

Samahani mkubwa:sly:😀
 
yani huyo diwani ameona hatashinda kwenye kura za maoni ameamua asepe halafu chagadema mnashangilia eti mmepata kumbe galasa kwikwikwiiii
 
Wapi baba tupe ripoti. Sisiemu wamepukutika wamebaki manyoya au wamebaki matawi tu
 
yani huyo diwani ameona hatashinda kwenye kura za maoni ameamua asepe halafu chagadema mnashangilia eti mmepata kumbe galasa kwikwikwiiii
Unajitekenya na kucheka mwenyewe

Swissme
 
Back
Top Bottom