Huyu alikuwa na dalili zote za UCHADEMA Paul a.ka Afro si mtu mbabaishaji si mtu wa longolongo, CCM walikuwa wanamsumbua sana hasa anapo kataa kukubaliana na issue zinazohusisha rushwa, Paul ni kamanda tangu chalii akiwa AICC flats , hii ni habari njema maana alipata kura kwa kuwa ni mtu makini ila chama chake kinazidi kudhoofika angebaki huko angepigwa tu, welcome home commender the better place for the better future of Tanzania.😛eace:
Watu wenye ufahamu na IQ ya kutosha na nguvu sawsawa ya harakati hawatabaki ccm. CCM watabaki makapi.