Diwani wa CCM Arusha, Paul Mathyssen Ajiunga CHADEMA

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
8,652
Reaction score
2,642
Wanaukumbi.

Kambi ya chama cha Mapinduzi jijini Arusha inapukutika baada ya aliyekuwa Diwani wa CCM kata ya Moshono Paul Mathyssen Kujiengua ktk kura za maoni.

Kwa mujibu wa barua ya diwani huyo iliyosomwa ktk mkutano wa kura za maoni mtaa wa Laiser diwani huyo ameelezwa kuondoka Rasmi na kujiunga na Chadema.
 
Huyu alikuwa na dalili zote za UCHADEMA Paul a.ka Afro si mtu mbabaishaji si mtu wa longolongo, CCM walikuwa wanamsumbua sana hasa anapo kataa kukubaliana na issue zinazohusisha rushwa, Paul ni kamanda tangu chalii akiwa AICC flats , hii ni habari njema maana alipata kura kwa kuwa ni mtu makini ila chama chake kinazidi kudhoofika angebaki huko angepigwa tu, welcome home commender the better place for the better future of Tanzania.😛eace:
 
Wataikoma Chadema mwaka huu, lakini hawa jamaa wanaokimbilia upinzani waangaliwe kwa jicho la tatu wasije kuwa ni mamluki. Somo tumelipata kwa John Shibuda.

Kwa mfano Chelsea ikichukua wachezaji nyota wa Liverpool halafu wote waanze kikosi cha kwanza, naamini wachezaji watakuwa na spirit ya Liverpool na sio timu yao mpya ya Chelsea....NAWAZA TU!
 
Huyu alikuwa na dalili zote za UCHADEMA Paul a.ka Afro si mtu mbabaishaji si mtu wa longolongo, CCM walikuwa wanamsumbua sana hasa anapo kataa kukubaliana na issue zinazohusisha rushwa, Paul ni kamanda tangu chalii akiwa AICC flats , hii ni habari njema maana alipata kura kwa kuwa ni mtu makini ila chama chake kinazidi kudhoofika angebaki huko angepigwa tu, welcome home commender the better place for the better future of Tanzania.😛eace:

Hakika Unamjua
 
Hakika Unamjua

Acha tu mkuu huyu ni kamanda kweli kweli, Afro! hana njaa za kijinga ingawa si tajiri ni mtu anaejielewa sana na kujikubali kama alivyo, rushwa za kina meya lyimo alikuwa anampa za uso hii hapana hii tenda itangazwe hakuna cha kujidai chadema wametoka tuendelee, kwa Paul ilikuwa noo, hakika aje kwenye ukombozi wa Tanzania. Ukizingatia na kamanda Lema tumempitisha kwa kishindo kura za maoni haaahaaa, sipati picha CCM wanavyohaha huko nje, kila mgombea wa CCM Arusha amechapisha mabango makubwa ya picha kujinadi kwa wananchi wakati kura za maoni hazituhusu wananchi tulio nje ya mkutano mkuu, yaani hawa jamaa wamechanganyikiwa Arifu ni full kwere yaani.
 
Hawa watu tunawapokea lakini tuwe macho wasije kutusumbua huko mbeleni na wasipewe madaraka yoyote coz wameona uchaguzi umekaribia wawe wanachama wa kawaida tu.
 
Kwa mfano Chelsea ikichukua wachezaji nyota wa Liverpool halafu wote waanze kikosi cha kwanza, naamini wachezaji watakuwa na spirit ya Liverpool na sio timu yao mpya ya Chelsea....NAWAZA TU!
Wewe endelea kuwaza tu. Chadema mwendo mdundo fichua mafisiemuuuuuuu
 
Hawa watu tunawapokea lakini tuwe macho wasije kutusumbua huko mbeleni na wasipewe madaraka yoyote coz wameona uchaguzi umekaribia wawe wanachama wa kawaida tu.

Huyu Giriki wala hakuwa kimagambagamba
 
Wanaukumbi.

Kambi ya chama cha Mapinduzi jijini Arusha inapukutika baada ya aliyekuwa Diwani wa CCM kata ya Moshono Paul Mathyssen Kujiengua ktk kura za maoni.

Kwa mujibu wa barua ya diwani huyo iliyosomwa ktk mkutano wa kura za maoni mtaa wa Laiser diwani huyo ameelezwa kuondoka Rasmi na kujiunga na Chadema.

Waje waje waje waje tuu kwenye chama cha uhakika cha kumtoa mkoloni mweusi nchini mwetu.
 
Back
Top Bottom