Diwani wa CCM afariki dunia

Mh. Diwani alianza kuumwa mara tu baada ya kushinda uchaguzi. Hajawi kukalia kiti chake cha Udiwani. Ameugua muda mrefu lakini hakuna Daktari wa Hosp hata mmoja aliyepata kujua ugonjwa wake. Msiba upo hapa Tegeta kwa sasa.

Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahala pema, Ameni

Diwani wa ulanga, makazi Tegeta... Hawa magamba kazi kweli kweli, bora waanze kufa, dhuluma inawatoa roho sasa.
Bado vasco da gamba, si alidhulumu kula za Dr. Slaa, yetu macho muda wowote kamba inakata, cd4 zimepungua sana, ndo mana safari zimekuwa nyingi za kwenda kubadili blad.
 
Diwani wa ccm ndugu George J Mlimani wa mahenge ulanga amefariki dunia leo usiku jijini Dsm mungu ailaze roho yake mahali pema peponi amini.

R.I.P Diwani wa ccm. Sijui alishatangaza kujivua gamba!, wamemkolimba....
 
Mh. Diwani alianza kuumwa mara tu baada ya kushinda uchaguzi. Hajawi kukalia kiti chake cha Udiwani. Ameugua muda mrefu lakini hakuna Daktari wa Hosp hata mmoja aliyepata kujua ugonjwa wake. Msiba upo hapa Tegeta kwa sasa.

Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahala pema, Ameni


Dah! kumbe? Alishinda kihalali? Isije kuwa ni mfungo wa kimya kimya umejibu......Watu wanaanza na Mungu na kumaliza na Mungu.

RIP Diwani, poleni ndugu na jamaa.

 
Wabunge wa ccm wakianza kufa pia kama sumari, itakua jambo jema...

Haya si maneno mazuri kuwasemea watu waliofiwa na ndugu yao. Uwe muungwana. Heri ungeacha kuandika. Usije ukavuna matunda ya midomo yako. Maana; "Mungu hadhihakiwa, kwa kuwa apandacho mtu ndicho atakachovuna". Kifo au msiba hauna mwenyewe. Si mtamu kwa rafiki wala kwa adui.
RIP Diwani na poleni wafiwa.
 
Mungu ampe pumziko la Amani.
Naziona kata za CDM mpya nyingi, zinazidi ongezeka, tayari madiwani wa 4 wamejiuzulu na mmoja huku ka RIP.
Kufa, kufaana
 
Mungu ametoa na ametwaa.Tuliobaki ni kujihoji wenyewe njia zetu tukijua kuna siku Mungu atatuita
 
WATU WENGINE kili zao wanategemea upepo.
unaona kabisa tanzia ww unasema likes. yaani wewe ni gamba baba yako, mama yako, na ukoo wenu
 
Back
Top Bottom