Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Dirisha la usajili si limesha fungwa au?
Barua iko dated 14 November
Dirisha la usajili si limesha fungwa au?
Kakosea timingDirisha la usajili si limesha fungwa au?
Duuh haya maslahi binafsi haya!!!Huyu siye alimtoa kafara mtoto wa baba yake mkubwa mzee Enock Mhembano ili apate huo udiwani???
Peter aliuawa akachunwa ngozi kawa kafara mpaka mzee akapata stroke akafariki!!!!
Dirisha la usajili si limesha fungwa au?
Mhu hii ni familia yangu.Duuh haya maslahi binafsi haya!!!
Hiv madiwan bei yao ni sh.ngap?Yeye mwenyewe huyu hapaView attachment 936672
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sura ya kazi
Mapandikizi yanarudi nyumbani.
Sure but it's pain u know?Not newz again. Rubbish!
Dirisha la usajili si limesha fungwa au?
Hawezi pona kwa laana hiyoBasi hiyo laana haitomuacha hivi hivi ,itamuandama mpaka huko alikohamia.
[emoji22] [emoji22] ile tr ya mwisho wa usajili ilitangazwa na mwenezi haijafika bd.?
Safari na iwe njema kwake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni kweli kabisaSababu alizotoa alikalilishwa na Mr. Polepole hapo "Nyerere square " makao makuu ya CCM Dodoma.
Kama hiyo nyumba pichani ni ya kwake ilikuwa ni lazima afike bei
Njaa