jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,990
- 22,523
First ulisema mmefikia muafaka,nikakuuliza ukaignore,sasa umebadili kuwa ni mchakato wa muafaka...Vurugu tupu!Msijisahau, ni JF hii.Mnyakatari,typing error,ni kwamba mchakato wa kutafuta muafaka ulikuwa umeanza,na mimi nilikuwa sehemu ya wajumbe,
Ila hatukuwahi hata mara moja kufikia hitimisho,