Diwani mombo aongoza vurugu

Diwani mombo aongoza vurugu

Gaza

Senior Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
102
Reaction score
8
Mji mdogo wa mombo ume gubikwa na sinto faham baada ya mkuu wa wilaya kumsimamisha kazi mkurugenzi wa mji mdogo wa Mombo kwa ubadhirifu wa pesa za miradi mbali mbali,

Picha ina anza hivi baada ya kumsimamishwa diwani na mwenye kiti wa mamlaka ya mji wame andaa vijana na kumfanyia vurugu mkurugenzi mpya aliye teuliwa kukaimu na fasi iliyo achwa wazi hadi kufikia kuvunja geti la kuingilia ofisini, na kuna taarifa diwani na mwenyekiti wa mji jana walikodi costa na kujaza vijana kwenda kwa mkurugenzi wa halmashauri ya korogwe ambae ndiye boss wa aliye simamishwa ili kujenga taswira kua aliye fukuzwa ana kubalika.

Kwa taarifa ni kwambia huyu diwani alishinda udiwani kwa nguvu kubwa za huyo TEO aliye fukuzwa ,diwani ana elimu ya darasa la 4 hivyo TEO ame kua akitumia udhaifu wa huyu diwani wa kutokua na upeo wa kutokujua mambo kufanya ufisadi ana vyotaka
 
Halima Musa diwani kilaza wa kata ya mombo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom