Diwani Kata ya Kyela Matatani Kufuatia Kuanzishwa Mamlaka ya Mji Mdogo!


Gwamaka,

Lakini huenda pia Mwenyekiti wa Halmashauri aliamua yeye mwenyewe. Uongozi wa wilaya unashughulikia hili jambo na mpaka sasa ni wazi mwenyekiti kakiuka sheria. Kama ulivyoandika, hao mahakimu wa zamani wanajifanya wanajua sheria kumbe sivyo.

Inabidi kuwa waangalifu maana kama yeye kafanya kosa na wao wasifanye makosa ya kumsimamisha mwenyekiti. Inabidi kupunguza joto hapa Kyela maana limezidi mno.
 
FairPlayer,

Kuna watu hapa Kyela wameonywa kwa kuandika JF wakati wa kazi. Sijui undani wa suala hili lakini najua imetokea.

Labda nianze kuwahoji mmoja mmoja hawa vijana huenda nikamjua Engineer.
 
FairPlayer,

Kuna watu hapa Kyela wameonywa kwa kuandika JF wakati wa kazi. Sijui undani wa suala hili lakini najua imetokea.

Labda nianze kuwahoji mmoja mmoja hawa vijana huenda nikamjua Engineer.

Kama wanatumia muda wote kuandika JF badala ya kufanya kazi hata mimi ningewaonya. Ukiajiriwa kufanya kazi inabidi ufanye kazi na wala sio kushinda kwenye internet peke yake.

Hao labda wameambiwa wasitumie muda wa kazi kuwa kwenye internet na wao wanataka kusingizia JF.
 
Kilitime,

Inabidi kuchagua njia nyingine ya mapambano. Nitaacha kuandika JF mpaka hapo nitakapopata njia nyingine ambayo haitahatarisha kibarua changu pamoja na vibarua vya wengine.

Kuandikia nje sio rahisi kwani sina muda na itakuwa gharama.

Engineer, kama umeanza kuwa na wasiwasi na kibarua chako, kesho nakuja huko huko nyumbani kwa shughuli zingine na hilo la barua ya M/Kiti wa Halmashauri nitalifuatilia kwa karibu ili nijue undani wake kwa sasa, yaani kupata updates.

Bado sasa niko Iringa.
 
Engineer,
Kumbe muda wote unakomaa (aga) hapa kujibizana na kina Masanilo na Shalom, unatumia mtandao wa ofisini? Jamani huo nao ni ufisadi mkubwa kuliko hata wa Richmond. Yaani unatumia rasilimali zetu kwa ajili ya mambo yako binafsi?.

Hapana mimi umenikwaza sana kwa hilo. Nakushauri nunua mtandao( kichwa cha simu cha TTCL ni shs 100,000 na lap top yako au d.top (nadhani unayo either of the two or both) basi unapata mtandao.

Ulisema huwa unatumia pikipiki je unapokuwa unafuatilia mikutano ya Mwakyembe; unatumia hiyo pikipiki, je ni yako au ya serikali?
 

Kumbe ufisadi upo kila kona? Kazi kweli kweli!
 
Ntambaswala,

Wote kuna wakati tunatumia mtandao wa ofisini lakini sio kwa kiwango cha akina engineer. Huo ni ufisadi mkubwa sawa na wa hao tunaowasema siku zote.

Nafikiri kuna mtu amehisi wanachofanya na kisha wakaamua kuwatisha kwamba wana IP wanazotumia wamepewa JF. Kwa watu wa hapa hivi wanajua hata IP ni nini?

Injinia nunua laptop yako, kutumia resources za serikali kwa mambo binafsi ni makosa na kama mkurugenzi amewaonya yuko sahihi.

Pole sana ila angalia na unaweza kupoteza kibarua na usianze kutafuta mchawi.
 

Wale wa posho mbili mbili kwa kazi moja mbona bado wanapeta? Acha kutishia wakubwa nyau!
 
Mahenge ni mlanguzi tu kaka ndo maana yuko upande wa mafisadi,kwa taarifa Mwakyembe hana ubavu wa kumtoa diwani ni sheria za serikali za mitaa ndo zinatumika acheni kuogopa kivuli cha Mwakyembe
 
Mahenge ni mlanguzi tu kaka ndo maana yuko upande wa mafisadi,kwa taarifa Mwakyembe hana ubavu wa kumtoa diwani ni sheria za serikali za mitaa ndo zinatumika acheni kuogopa kivuli cha Mwakyembe

Mlanguzi kataka siasa??
kwani hapa tatizo nini? nimeomba mara kadhaa nipewe tafsiri sahihi ya kifungu
cha sheria kilichotumika.
sasa mnavuka mipaka mwacheni Mwakyembe apumzike;
namini mnalitajataja bure jina la mbunge wenu sababu tu ni mwalimu wa sheria, mpeni nafasi awape tafsiri sahihi ya sheria!
mimi na nafsi yangu namwamini sana mbunge
nachojua yuko ktk wakati mgumu kwasababu ya umaarufu wake kitaifa, kupambana na PCCB sio mchezo. kwahiyo sio swala la kivuli chake ni siasa zilizopo kyela kila kukicha kwa visavisa
 
mhhhhh....................kyela-kyela-mwakyembe-mwakyembe-mwakipesile-mwakipesile-lowasa-lowasa-rostam-rostam-mwakalinga-mwakalinga,
wanakyela mkikubali kudanganyika na hawa vikaragosi mkakosana kwa ajikli ya maslahi yao mtajuuuuutaaaaa.......kumbukeni watoto wenu wanasoma shule za kata hapohapo kyela....si mtoto wa mwakyembe wala wa mwakipesile wala wa monduli anaeweza kusoma shule wanazosoma wanenu...sasa nyie shobokeeni tuuuu hao jamaa wanawapotezeeni muda wenu wa kufanya shughuli za maendeleo......wenzenu wanatafuta mitaji ya kisiasa kwa hiyo mi nawaomba muweni makini katika kufuatilia kila kinachotokea kyela..........msikubali kuwa mikia na kuburuzwa na hawa wanasiasa.
Cha msingi angalieni mtu mnaeona anaweza kuwafaa
 
Hizi barua kwenye attachment nilitumiwa jana lakini box lilinizidia ndio nimeziona leo, zinaweza kusaidia kwenye mjadala huu.

Wilayani wanatumia muda wao kwenye mambo ambayo hayaleti tija kabisa.
 
Hizi barua kwenye attachment nilitumiwa jana lakini box lilinizidia ndio nimeziona leo, zinaweza kusaidia kwenye mjadala huu.

Wilayani wanatumia muda wao kwenye mambo ambayo hayaleti tija kabisa.

Mkuu tunaomba utufahamishe ulitumiwa wewe kama nani mbona mimi sikutumiwa? Hebu saidia hili tuanze mjadala

Asante sana

Masa
 
Mkuu tunaomba utufahamishe ulitumiwa wewe kama nani mbona mimi sikutumiwa? Hebu saidia hili tuanze mjadala

Asante sana

Masa

Nimetumiwa kama mdau wa Kyela; shiriki kwenye maendeleo na mambo ya Kyela, kukiwa na habari na wewe utatumiwa.
 
Mkuu tunaomba utufahamishe ulitumiwa wewe kama nani mbona mimi sikutumiwa? Hebu saidia hili tuanze mjadala

Asante sana

Masa
.

Wakutumie wewe ni nani kwa wana kyela?.
Kuwa member wa Jf ndiyo ujulishwe mambo yote ya Kyela.

Mtanzania,ni mdau wao.mshiriki maendeleo yote,mbunifu na mwenye uchungu na wilaya yake kuliko ata huyo the comedy wako.
 
wale wa posho mbili mbili kwa kazi moja mbona bado wanapeta? Acha kutishia wakubwa nyau!
.

Wache wapete.
Lakini uchaguzi ukifika,tutakula nao sahani moja. Mwakyembe aliogopa kwenda kuhojiwa kutokana na wingi wa pesa aliyochukua kwa kazi ileile.

Sophia Simba She is right juu ya mtu huyu, Kwamba ana njaa .
 
.

Wakutumie wewe ni nani kwa wana kyela?.
Kuwa member wa Jf ndiyo ujulishwe mambo yote ya Kyela.

Mtanzania,ni mdau wao.mshiriki maendeleo yote,mbunifu na mwenye uchungu na wilaya yake kuliko ata huyo the comedy wako.

U can do better than this....umekopi nilichoandika, unategemea nikujibu kweli? Think loud before doing injustice on your key board!
 
.

Mkuu Jile.
Heshima mbele mkuu wangu.
Unachosema hapo ni kweli kabisa.Huyu mwakyembe kama atashindwa uchaguzi wa mwakani,Basi wana kyela hamtamuona tena, kwasababu hakuna alichosahau kyela.

Niliwahi kuhudhuria moja ya mikutano yake kata ya ngonga.Alikuwa anawaelezea wana ngonga kuwa yeye ni mzaliwa wa ngonga na kwamba yeye ni mtoto wa marehemu Ruben ngonga.

Swali ni kwamba,
kweli wewe mzaliwa wa hapo hapo ngonga, Kuna haja gani ya kujitambulisha kiasi hicho?,Jibu ni kwamba watu hawamjui na huyu Ruban hajulikana alikuwa wapi.Analazimisha kuwa alizaliwa hapo na huko Ikolo sijui alifikaje.

Huyu bwana ni tapeli kweli kweli na kiu kubwa kwake ilikuwa ni Uwaziri tu na kuwafanya wanakyela kama ngazi.

Ninamsikitikia ata kijana mmoja mfanyabiashara na mafanikio yake, mwenye Sativa naye ameifanya Hotel yake kama kambi ya Mwakyembe badala ya kukaa mbali na mambo ya siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…