Diwani Kata ya Kyela Matatani Kufuatia Kuanzishwa Mamlaka ya Mji Mdogo!

Haya nyepesinyepesi.

Nimetaarifawa kutoka Kyela kwamba leo leo tena kuna kikao kizito kwa maagizo ya waziri.

wanaopaswa kuudhuria ni wazito zaid akiwemo mkuu wa mkoa na mbunge ni cha kumthibitisha Mkiti na kumchagua msaidizi wake hebu mlioko huko mtutaarifu ukweli ya haya na je mbunge na mkuu wa mkoa watakaa meza moja?

ikizingatiwa na hali ya siasa iliyopo??
tunaomba taarifa zaidi kutoka huko tuujue ukweli.
 
Wajamen kumbe wala diwan hakuingia matatani kiviiiile mbona na msimu huu wa uchaguzi nasikia mmepata diwan tena huko je hili nalo ni kweli?????
 
Back
Top Bottom