Diwani Kata ya Kikombo na mwenyekiti wa CHADEMA Dodoma, Yona Kusaja ajivua vyeo vyote na kujiunga CCM

Egnecious

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
875
960
BREAKING NEWS

17 April 2019

Bwana Yona Kusaja Diwani wa Kata ya Kikombo na Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Dodoma Mjini, Leo amejivua uanachama wa Chama Chadema na vyeo vyake vyote ndani ya Chama hicho na kujiunga na CCM

Bwana Yona Kusaja amepokelewa na Ndg. Humphrey Polepole Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi akiwa katika Semina ya Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Makao Makuu ya CCM - Dodoma.

Imetolewa na
IDARA YA ITIKADI NA UENEZI
CHAMA CHA MAPINDUZI
IMG-20190417-WA0040.jpeg
IMG-20190417-WA0039.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwa nini Polepole anaitwa Chakubanga? Nilidhani katika wale main characyers wa Christian Gregory huyu ndio alikuwa makini kuliko wale wengine Polo (mlevi) na Bushiri (mtu wa shamba)

Chakubanga
1074272


Polo na Bushiri

1074275
 
Nchi imekuwa ya kipuuzi kila siku upuuzi tuu maendeleo ni ndoto nchi itakuwa mauchaguzi tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
kila zama ina kipaumbele zhake sasa naona hii zama kipaumbele chake ni uchaguzi wa marudio ambao unagharimu mamilioni ya fedha bilaya sababu ya msingi, hapa bila ya katiba mpya ni kutwanga maji kwenye kinu chenye matobo
 
Hebu check na Polepole kama ameacha mnazi na kikolezo cha glassi ya gongo pale Mburahati kwa mama Imma.
 
Back
Top Bottom