Diwani Isaya Doita aliyemtuhumu Godbless Lema afukuzwa Uanachama

Katiba ya Jamhuri ya Muungano inatambua uwepo wa vyama vya siasa pamoja na mikutano ya hadhara , sasa ni vema ukamuuliza Magufuli kwanini anasigina katiba ya nchi kwa sababu za uoga ?
Katiba ya chadema inatambua uwepo wa Uhuru wa kutoa maoni na kukosoana ndani ya chama.

Kwa nini nyie mnawafukuza wanaokosoa ambao siyo wachaga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katiba ya Jamhuri ya Muungano inatambua uwepo wa vyama vya siasa pamoja na mikutano ya hadhara , sasa ni vema ukamuuliza Magufuli kwanini anasigina katiba ya nchi kwa sababu za uoga ?
Hapo ndipo wanasiasa mnapofeli.Watanzania wana matatizo mengi sana yanayowayowagusa na kuwaumiza sana. Hii mambo ya vyama siasa ni ishu ndogo sana na hazina umuhimu wowote kwenye maendeleo ya watu uchaguzi ukishapita tukapata Mkuu wa nchi.

Mikutano ya Hadhara ina tija gani kama watu hawana maji?
Well , itakua na umuhimu kama serikali iliyopo haifanyi juhudi ya kuwapelekea wananchi wake maji ,hapo mikutano itakua ni mahakama ya kuwashitaki kwa wananchi kuwa waiwajibishe serikali yao. Lakini kwa serikali kama hii ya JPM inajitahidi usiku na mchana kuwapelekea wananchi huduma za jamii halafu wanatokea wapenda madaraka wanaponda na kupinga tuu yale yanayofanywa badala ya kuipa muda serikali ikamilishe hayo inayoonekana kuwa inayafanya ili uchaguzi ukifika watu warudi kwenye kunadi Sera zinazogusa maendeleo zaidi mana mambo yanayohusu binadamu na mazingira yake hayataisha Leo wala kesho mpaka atakapokuja Kristo kwa Mara ya pili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna mbele wala nyuma, hujitambui

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefuatilia sana wapinzani hasa Chadema chama kikuu cha upinzani Tanzania.
Hakika ni chama Hatari sana sana sana kama kitaachwa kishike Madaraka kikiwa na Timu ya watu wa aina yako ambao ndio wengi mpaka sasa ndani ya Chama hicho cha Madikteta wanaojiona wapo sahihi muda wote na wao ndio wanaojua kila kitu. Tuliona walivyokua wanamzomea Mzee Shibuda alipokua anatoa hotuba yake siku ya Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chama. Ilikua ni aibu kubwa kwa Chama kushindwa kumvumila Mtanzania mwenzetu tunayetamani Siku moja tuwe na Taifa la watu waliokomaa kisiasa na kupingana kwa hoja badala ya vioja. Mnawafundisha nini watoto wa Taifa hili kuhusu Demokrasia ya kutoa mawazo bila kuzuiwa ? Au mawazo ya kila mtu ni lazima yafanane na mtizamo wa Kichadema?

Chadema kama kisingedhibitiwa na watu walioona mbali hii nchi ingekua ni nchi ya ajabu sana yenye watu wanaozomeana na kupingana kwa fujo na vurugu kwa mambo madogo madogo bila kufikia muafaka kwa Busara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndipo wanasiasa mnapofeli.Watanzania wana matatizo mengi sana yanayowayowagusa na kuwaumiza sana. Hii mambo ya vyama siasa ni ishu ndogo sana na hazina umuhimu wowote kwenye maendeleo ya watu uchaguzi ukishapita tukapata Mkuu wa nchi.

Mikutano ya Hadhara ina tija gani kama watu hawana maji?
Well , itakua na umuhimu kama serikali iliyopo haifanyi juhudi ya kuwapelekea wananchi wake maji ,hapo mikutano itakua ni mahakama ya kuwashitaki kwa wananchi kuwa waiwajibishe serikali yao. Lakini kwa serikali kama hii ya JPM inajitahidi usiku na mchana kuwapelekea wananchi huduma za jamii halafu wanatokea wapenda madaraka wanaponda na kupinga tuu yale yanayofanywa badala ya kuipa muda serikali ikamilishe hayo inayoonekana kuwa inayafanya ili uchaguzi ukifika watu warudi kwenye kunadi Sera zinazogusa maendeleo zaidi mana mambo yanayohusu binadamu na mazingira yake hayataisha Leo wala kesho mpaka atakapokuja Kristo kwa Mara ya pili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu;
Umeandika kwa busara na hekima kubwa sana!

Hongera kwa maoni yako haya ambayo yana funzo kwa mtu ambaye anataka kujifunza!
 
Hapo ndipo wanasiasa mnapofeli.Watanzania wana matatizo mengi sana yanayowayowagusa na kuwaumiza sana. Hii mambo ya vyama siasa ni ishu ndogo sana na hazina umuhimu wowote kwenye maendeleo ya watu uchaguzi ukishapita tukapata Mkuu wa nchi.

Mikutano ya Hadhara ina tija gani kama watu hawana maji?
Well , itakua na umuhimu kama serikali iliyopo haifanyi juhudi ya kuwapelekea wananchi wake maji ,hapo mikutano itakua ni mahakama ya kuwashitaki kwa wananchi kuwa waiwajibishe serikali yao. Lakini kwa serikali kama hii ya JPM inajitahidi usiku na mchana kuwapelekea wananchi huduma za jamii halafu wanatokea wapenda madaraka wanaponda na kupinga tuu yale yanayofanywa badala ya kuipa muda serikali ikamilishe hayo inayoonekana kuwa inayafanya ili uchaguzi ukifika watu warudi kwenye kunadi Sera zinazogusa maendeleo zaidi mana mambo yanayohusu binadamu na mazingira yake hayataisha Leo wala kesho mpaka atakapokuja Kristo kwa Mara ya pili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Andiko refu lakini la kijinga sana ! Katiba ndio mwongozo wa yote yanayotendeka nchini , hata urais wa Magufuli unatokana na matakwa ya Katiba , ni ujinga wa hali ya juu mno kuidharau katiba kwa sababu zozote zile , na jambo hilo hatutalikubali kamwe hata kama gharama zake ni kifo .
 
Kumbe chadema nao ni washenzi kama washenzi wengine

Aisee bora tu tubaki na ccm ingawa nayo ni ya hovyo ila nahisi chadema ni chama cha hovyo zaid

No kukosoanization ndan ya chama?!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe una mpango wa kuhamia kwa chama cha janja janja huko ni chama cha demokrasia kinachopinga demokrasia yenyewe
 
Diwani wa Kata ya Ngarenaro kwa tiketi ya CHADEMA, Isaya Doita aliyemtuhumu Godbless Lema kuwa hajui kazi na majukumu yake kama kiongozi wa juu wa CHADEMA na pia kama Mbunge amefukuzwa uanachama kwa kosa la kukiuka kanuni na misingi ya uanachama wa chama.

Kufukuzwa Uanachama kunamfanya kupoteza hata Udiwani wa Kata ya Ngarenaro kwa sababu Diwani lazima awe na udhamini kutoka chama cha siasa.

Ikumbukwe kuwa Juzi kupitia vyombo vya habari, Diwani Isaya alimtuhumu vikali Mbunge Godbless Lema kuwa hajitambui na hajui majukumu yake kama Mbunge, Mwenyekiti wa Kanda na Mjumbe wa Kamati Kuu ambapo imesababisha chama kudhoofika na kukimbiwa na baadhi ya Madiwani wa Jiji la Arusha.

Kufukuzwa kwa Diwani Isaya Doita kunafanya awe Diwani wa 14 katika Jiji la Arusha kwa tiketi ya CHADEMA aliyeondoka CHADEMA baada ya Uchaguzi Mkuu 2015.

Ukitaka kusoma na kuangalia video ya tuhuma unaweza kugonga Link hii:

Link > CHADEMA Arusha ‘’kwafuka moshi’’; Godbless Lema aambiwa hajitambui na hajui majukumu yake

Barua ya kumvua uanachama
EPUVdxeXUAA597w

Video ya tuhuma kwa Godbless Lema
Hivi chadema hawalioni hilo,inawezekana vipi madiwani wa mkoa mmoja wanaondoka tu, inabidi wamchunguze huyo lema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mpumbavu pekee anaeweza Amini kuwa vyama vya Tanzania vina demokrasia haijalishi chama tawala ama vyama pinzani. Vyote Ni upupu na njaa tu. NO REAL DEMOCRACY.
 
Yes, fukuza yeyote atakayeshindwa kufuata sheria na kanuni za chama, hiyo ndio misingi na njia za kufikia matarajio yoyote waliyojiwekea, haiwezekani mtu akurupuke akaropoke tu huko mtaani halafu aachwe, itakua taasisi ya wajinga, CDM walithibitisha na wanaendelea kuthibitisha wao ni tasisi imara.

Vipi upande wa pili, kila siku mnatishia kuwaita kina Membe kwenye kamati lakini mpk leo bado mmeufyata mkia!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madaraka kwanza halafu baadaye ndio watazungumzia matatizo ya wananchi waliowapa madaraka!

Godbless Lema wa leo ni milionea kama sio bilionea kutokana na biashara ya siasa!

Selfish politics is the order of the day!
CCM mnadhani umasikini ni sifa, ndio maana hili taifa halisogei, jinga sana nyie!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo letu ndo hilo tu.

Nazani hata JPM anaiga kwenu tabia ya ukimkosoa unakula kwenzi.

Alafu mnaamtafutia jina baya.
Zitto mlimtimua kwa kesi kama hizi yaani chama hakiitaji kukosolewa wala kushauliwa.

Yaani mnakunywa sumu CCM inaanda kaburi dawa anakufa nayo marehemu.
fuata utaratibu; unakosoa au kushauri wapi, sio kuropoka tu popote, huku kuna wajinga wengi sana!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Demokrasia ya Chadema, wakosoaji wakuu wa serikali ya CCM, madudu yao ndani ya Chadema hayaruhusiwi kukosolewa
 
Back
Top Bottom