Diwani Isaya Doita aliyemtuhumu Godbless Lema afukuzwa Uanachama

Eti huwa wanalilia MAgufuli akubali kutukanwa lakini, hawako tayari kukosolewa. UKiwaangalia wanaiga vituko vya CCM miaka ile ya chama akushika hatamu. Nao wanaiga kufukuzana. Unafukuza watu wanaotaka kuondoka wenyewe?
Kufukuza watu wanao kiuka utaratibu na miongozo mliokubaliana hiyo ni demokrasia Vipi kipotezwa wakosoa Sheli-Kali nayo ni Demokrasia?
Umegundua utofauti hapo ama bado upo kibshite bashite?
 
Kufukuza watu wanao kiuka utaratibu na miongozo mliokubaliana hiyo ni demokrasia Vipi kipotezwa wakosoa Sheli-Kali nayo ni Demokrasia?
Umegundua utofauti hapo ama bado upo kibshite bashite?
Walishakubaliana na diwani huyu jambo la aina hiyo? Umemsikiliza anavyoongea? Eti Diwani asiongelee Mbunge asiyejitambua. Subili Mwezi November Ndo utajua maana ya akili timamu.
 
Kumbe mnawaiga CCM? Mlitakiwa kuonyesha kuwa nyie ni tofauti na kuwa kwenu kuna uhuru wa kutoa mawazo kama jina leni linavyosema. Inawezekana kabisa huyu bwana ameitisha press conference baada ya kuona huko kwenye vikao hasikilizwi. Na kama anachosema ni kweli basi mwaka huu msitafute mchawi.

Amandla....
Acha akili maandazi wewe! Demokrasia ya vyama sio kuongea hovyo mambo ya chama kama vile vilabu vya pombe.
Na sio kuiga ccm bali huo in mfano tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja yako ni nini hapa, ni kuendelea vizuri huko walipo au ni kuondoka sehemu fulani kutokana na mizengwe? Kuendelea vizuri mahali ulipoenda kuna uhusiano gani na ilipohama kwa mizengwe?
Hoja ni kuwa hawakufukuzwa. Waliondoka wenyewe.

Amandla.....
 
Acha akili maandazi wewe! Demokrasia ya vyama sio kuongea hovyo mambo ya chama kama vile vilabu vya pombe.
Na sio kuiga ccm bali huo in mfano tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ukimtukana mtu usiyemjua unapata faida gani? Unajisikia kama kambabe fulani au siyo? Bila shaka wewe ni mashabiki na sio mwanachama wa Chadema.
Huyu unaemshambulia amesema hadharani kinachomkera katika chama chake kwa sababu anaona kinakoelekea si kizuri. Kwa kufanya hivyo amekipa fursa ya kuchunguza yale anayodai na kujirekebisha kama inabidi. Au mlitaka azungumzie kwenye vilabu vya pombe ambako ndiko kuna wapiga kura wengi?

Amandla....
 
Tatizo letu ndo hilo tu.

Nazani hata JPM anaiga kwenu tabia ya ukimkosoa unakula kwenzi.

Alafu mnaamtafutia jina baya.
Zitto mlimtimua kwa kesi kama hizi yaani chama hakiitaji kukosolewa wala kushauliwa.

Yaani mnakunywa sumu CCM inaanda kaburi dawa anakufa nayo marehemu.
Kwani barua ya kumfukuza imeeleza sababu ni kumkosoa Lema?
 
Hivi ukimtukana mtu usiyemjua unapata faida gani? Unajisikia kama kambabe fulani au siyo? Bila shaka wewe ni mashabiki na sio mwanachama wa Chadema.
Huyu unaemshambulia amesema hadharani kinachomkera katika chama chake kwa sababu anaona kinakoelekea si kizuri. Kwa kufanya hivyo amekipa fursa ya kuchunguza yale anayodai na kujirekebisha kama inabidi. Au mlitaka azungumzie kwenye vilabu vya pombe ambako ndiko kuna wapiga kura wengi?

Amandla....
Yaani, kufukuzwa kwa huyo diwani ndio iwe Chadema kinakoelekea sio kuzuri? Ujinga huo.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya kukosoa na kushauri.Hivi ukiwa ndani ya system ukaona kuna baadhi ya mambo hayaendi sawa unatakiwa ukosoe au ushauri?.Sasa kama wewe ambaye uko ndani unayetakiwa urekebishe mambo unapokosoa adui yako nje atafanya kazi gani.Kwaiyo uyo bwana asitupe lawama kwa wengine wakati yeye ni sehemu ya tatizo.
Kukosoa ni sehemu ya kutoa ushauri. Unakosoa halafu unatoka ushauri wa nini cha kufanya ili kuokoa jahazi. Na ndivyo alivyofanya huyu Mheshimiwa.

Amandla....
 
Wazee wa Demokrasia haoooooo. Sasa piga mahesabu wakishika nchi watafanya nini.
Kama wamekoselewa wamefukuza mtu je wakishika nchi halafu ukawakoso si utaishia kunyongwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna set precedence. Baada ya huyu watafukuzwa wengi tu. Au wataamua kukaa kimya na kutotoa ushauri pale unapohitajika.
Amandla.....
Huyo unayemtetea ametoa ushauri? Hao ni watu wa Lazaro ambaye baada ya kulambishwa alielekezwa ashawishi madiwani wengine na wanachama pia watimkie CCM. Upande wa wanachama walikwama hawakufikia matarajio, madiwani wakakubaliana naye, lakini wengine akiwemo huyo unayemtetea, wakapangwa kuanza kukitibua chama ili wavurugane ionekane Chadema Arusha imevurugika. Ni mbinu za kichovu tu hizo! Acha aondoke zake. Na ili ujue kama ni mkakati utaona jinsi mkurugenzi atakavyoshughulikia suala la kumuondolea udiwani licha ya Chadema kumuondolea udhamini!
 
Sasa hamuoni kwa kumtimua namna hii ndio mnathibitisha kuwa Chadema Arusha imevurugika? Kwa vile mliishamstukia, mngejibu tuhuma zake na kumwambia kuwa sio vizuri alivyofanya. Angeendelea ndio mngemfukuza. Hapo hamna ambae angemtetea.

Ajibiwe wapi? Mm nimekuuliza umeona sababu za kufukuzwa kwenye barua yake? Ni tuhuma zipi ambazo ametoa? Ni taratibu zipi za kichama ametumia kuwasilisha tuhuma, kama unavyoziita, halafu akapuuzwa? Tangu lini mhubi kwenye chama akitimuliwa inaitwa kuwa ni chama kimevurugika?
 
Back
Top Bottom