kilimasera
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 3,068
- 277
- Thread starter
-
- #21
Kama vile ulikuwa akilini mwangu,huyu jamaa wanammaliza.
halafu wengi wanatoka ccm kwenda chadema!!!sijasikia wa kutoka chadema kwenda ccmJe ni Madiwani wangapi waliokwisha jiuzulu tangu uchaguzi mkuu?
Kwa wale nilionataarifa nao mpaka sasa ni 5 je kuna wengine unaowafahamu?
Rolya---------------------- 3
Arusha-------------------- 1
Na huyu wa Manyara---- 1
halafu wengi wanatoka ccm kwenda chadema!!!sijasikia wa kutoka chadema kwenda ccm
Kilimasera huna Avatar nyingine?
tuseme ukweli aliye au anayeshabikia ccm ujue kuna kimkate cha leo anapata anasema kesho potelea mbali!maana utawala mbovu wa ccm unamgusa kila mtu!soma mwananchi ya jana:wenye viwanda kuvifunga wakati wowote ni hasara wanayopata kutokana na tanzania kutokua na umeme wa uhakika!hapo ajira kiasi gani kupotea? Drc wana mradi inga power plants wanataka uzalize 100 000mw kutoka 3500mw za sasa!chini ya ccm hata 600mw hatuwezi
CCM chama kubwa suo kama chadema wanatumia unyonge wa maskini kujipatia umaarufu
ccm ni mashine na huyo kama tone la maji kwenye bahari