Githeri
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 811
- 341
Diwani huyo anadai ni wanyarwanda waliodiriki kusema kwamba wanalipiza miradi cha JK kuwafukuza nchini huku wakiacha mali zao. Diwani ni miongoni mwa viongozi wanaoorodhesha wahamiaji haramu
Nami nimeambiwa na mtu aliyeko Karagwe kuwa wanyarwanda wamekasirika sana kuambiwa waondoke na kuacha mali zao.