Diwani anusurika kutekwai huko Karagwe

Diwani anusurika kutekwai huko Karagwe

Ngondombole

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
646
Reaction score
186
Diwani wa kata ya Chanyonyo wilayani Karagwe-Kagera Bwana Anold Rwesheleka amaenusurika utekwa na watu wanaosadikiwa ni majambazi na gari lake lacomwa moto..!!

source: ITV
 
habari hii haijakamilika, Kutekwa na nani? diwani toka chama gani?
 
mkuu tupe habari kamili wengine hatuoni itv
 
diwani wa kata ya chanyonyo karagwe ametekwa na watu wanaosadikiwa ni majambazi na gari lake lacomwa moto. Source itv

amenusurika kutekwa, hajatekwa! Alikimbia/ alitoroka

( source: Itv/radio one)
 
Diwani huyo anadai ni wanyarwanda waliodiriki kusema kwamba wanalipiza miradi cha JK kuwafukuza nchini huku wakiacha mali zao. Diwani ni miongoni mwa viongozi wanaoorodhesha wahamiaji haramu
 
isijekuwa alifumaniwa halafu anasingizia wanyarwanda , maana hii mijitu ya ccm kwa tamaa ni balaa . CC FISI CHAWENE .
 
Kama ni wa ccm poa tuu

"Nchi ngumu hii"
 
Habari nilizipata kutoka kwa ndugu wa diwani aliyetekwa ni kwamba alitekwa na wanyarwanda wenye silaha za kivita. Walipoingia ndani ya gari lake walimweka chin ya ulinzi huku wakimwuliza kama anafahamu lugha yao. Walianza kuweka risasi kwenye bunduki zao wakijiandaa kuteka magari baadaye alipoona wanania ya kumtumia katika uhalifu, alihofu usalama wake ndipo alipoamua kulock gari na kutokomea porini. Aliokolewa na gari la abiria ambapo alielezwa kuwa wamepita gari lake porini likiungua moto. Kwa sasa amelazwa hospitali ya nyakahanga na afya yake ni nzuri. Hivi ndivyo ilivyokuwa kwa ufupi.
 
Diwani huyo anadai ni wanyarwanda waliodiriki kusema kwamba wanalipiza miradi cha JK kuwafukuza nchini huku wakiacha mali zao. Diwani ni miongoni mwa viongozi wanaoorodhesha wahamiaji haramu


Sasa hao wanyarwanda si wangemsubiria mpakani pale Rusumo akivuka tu kurudi kwao wakomae nae hapo hapo. Yaani muhamiaji haramu anaishi nchini mpaka anapata uongozi kama udiwani bila mamlaka husika kujua??

Ama kweli "Nchi Ngumu hii" naunga mkono kaulimbiu ya Mdeki.
 
isijekuwa alifumaniwa halafu anasingizia wanyarwanda , maana hii mijitu ya ccm kwa tamaa ni balaa . CC FISI CHAWENE .

Mkuu,uzalendo kwanza,vyama baadae! Hivi mkuu unawajua vizuri hao wanyarwanda wanaoteka mabasi au unawasikia tu? Acha kabisa mkuu,usiombe kukutana nao wakiwa kazini!
 
Back
Top Bottom